Maswali kwa Mh. Magufuli, et al: | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maswali kwa Mh. Magufuli, et al:

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Konakali, Sep 30, 2011.

 1. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Wewe kama waziri wa ujenzi umesimama mbele ya wana Igunga kumnadi mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CCM, na kuahidi kutenga bajeti maalum kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Mbutu iwapo watamchagua Dr. Dalaly Kafumu...! Maswali yangu ni:

  1. Je, iwapo wana Igunga wakaamua kumchagua mgombea wa CUF, CHADEMA, au chama kingine chochote, hilo daraja halitajengwa?
  2. Je, kama watanzania wote tulishuhudia bajeti nzima ya serikali; ikiwepo ya wizara ya ujenzi, ikipitishwa na bunge kwa upungufu, hadi kubatizwa kwa jina la "kasungura kadogo", wewe hiyo bajeti utaitoa wapi?
  3. Kama mojawapo ya kazi za bunge letu ni kujadili, kupitisha na kuidhinisha bajeti ya taifa letu, hiyo bajeti yako mwenyewe itajadiliwa, kupitishwa, na kuidhinishwa na nani, lini na wapi?
  4. Kama umeahidi kuwa daraja litajengwa, je ni lini hasa daraja hilo litakuwa tayari, na unawashauri nini wana Igunga iwapo itafika muda huo bila daraja hilo?
  Nawasilisha...!
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  ccm ndo Serikali full stop.
   
 3. makwimoge

  makwimoge JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hakuna lolote hapo
   
 4. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaulimbiu ya kuchakachulia kura ALINSELEMA ALIJA- Chadema hatudanganyiki.
   
 5. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Maneno ya magufuli ni amewafanya wana Igunga maamuma kweli,kwamba hawawezi/hawajui hayo yote. Kimsingi ni alikuwa anawadanganya tu, ANATAKA KUSEMA FUNGU KWA AJILI YA DARAJA LITAPATIKANA IKIWA TU WATACHAGUA CCM
   
 6. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo mkuu wana Igunga wasipoichagua CCM hatapata hilo daraja? Kwa hiyo waziri wa CCM ni waziri katika majimbo yaliyochukuliwa na CCM tu?
  Je, hii tunaweza kusema ni rushwa, kutokujua maadili ya kazi, upendeleo, au ni ubabe tu?
   
 7. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Magufuli anazidi kutufunulia ukola wa CCM. Kwamba wamefika mwisho hawawezi kufikiri zaidi ya kutoa ahadi za uwongo hambazo kama tume ingekuwa huru , Magufuli alitakiwa ashitakiwe kwa kuvunja kwa kuwanagua watu wasio penda CCM.
   
 8. BBJ

  BBJ JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 1,183
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nilikua namuona magufuli ni mtu mchapakazi,mwenye uchungu na nchi etc,kumbe nae stupid hivyo...!
   
 9. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,611
  Likes Received: 4,719
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa kuwa hata uwe msomi vipi ukiwa CCM lazima akili zihamie masaburini, yaani Magufuli na usomi wake naye ameamua kuwa ze komedi.
   
 10. m

  mozze Senior Member

  #10
  Sep 30, 2011
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 185
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zaidi ya haya, huyu ni waziri aliyetamka hadharani kuwa Lipumba alivunja sheria ya nchi bila kuchukua hatua yeyote..... je tunahitaji viongozi kama hawa?
   
 11. mdeki

  mdeki JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 3,303
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  ccm ni zaidi ya uijuavyo ila wakati wao unaelekea ukingoni
   
 12. m

  matawi JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Maswali mazuri sana maana umeyahusisha moja kwa moja na uchaguzi wa igunga isipokuwa la mwisho si la muhimu sana kwa wakati huu
   
 13. S

  Sambega Member

  #13
  Sep 30, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Katika viongozi wa nchi hii ambao nilikuwa nawaamini mmoja wapo alikuwa ni Magufuri,lakini kwa haya aliyosema Igunga ya Punda wa Prof. Lipumba na Ujenzi wa daraja kutoka katika bajeti ya serikali ikiwa ni kodi za wana CDM,CUF,CCM,NCCR n.k amenidhoofisha sana,
  yaani mtu unayemuamini akiongea vitu vya kipuuzi na kipumbavu namna ile hadharani.........aaaagh!.......
  ..ila nashukuru kwa kutujuza kuwa ndani ya
  CCM na serikali yake hakuna clitical thinker na hii itatusababisha tuendelee kuitwa masikini mpaka kiama cha dunia labda CCM wang'olewe madarakani.
  Na kwa jinsi hii,nawashauri CHADEMA wajipange vizuri kuwaelimisha wanawake,wanakijiji,wanaume na wasomi wachache ambao bado wana imani na magamba wabadili msimamo wao ili TZ tupate kupona.
   
 14. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #14
  Sep 30, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Uwezo wako wa kuelewa ni mdogo, jibu hoja hapo juu za mtoa mada!
   
 15. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #15
  Sep 30, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  ccm wanaotumia masaburi ktk kufikiria wako wenge.
   
 16. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #16
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Huo ni ulevi tu!Ulevi wa madaraka
   
 17. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #17
  Sep 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Wajinga ndio waliwao!
   
 18. regam

  regam JF-Expert Member

  #18
  Sep 30, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 268
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hapo ndo tunatakiwa kujua kwamba tunahitaji "fresh blood" na "clear and unpoluted minds" kuleta mabadiliko hapa Tanzania.
  Kuna baadhi yetu tulianza kushauri Magufuri ahame ccm na kuhamia upinzani baada ya kushushuliwa na mshuwa kwenye sakata la bomoabomoa. Ukijaribu kufuatilia kwa karibu utagundua kwamba viongozi wengi "waliosimama" kwenye upinzani ni wale "fresh blood" na wachache ambao hawajawahi kushika nyadhifa kubwa ccm.
  Kinachotakiwa ili kuleta maendeleo hapa nchini ni kuiondoa ccm na kutoruhusu hata mmoja kuhusika kuiendesha nchi hii. Wote "wameoza" Hii inadhihirisha na kauli zinazotoka kwa baadhi ya wachache tunaodhani wako ccm kimakosa lakini kumbe nao hamnazo!
  Haya shime vijana wenzangu tusaidie kufikisha ujumbe kwa kutoa elimu ya uraia kwa vijana wenzetu ili kuleta mabadiliko ktk nchi yetu. We have nowhere to go! This is our home and we have no single option than fighting for the change!


   
 19. L

  Laptani Member

  #19
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Watanzania wa leo ni kizazi cha sidanganyiki. JPM anatangaza rushwa ya wazi, NEC kimya, Rage anapunga bastola mkutanoni as if anahutubia kikosi cha jeshi au polisi anapigwa fine ya laki!
   
 20. j

  jigoku JF-Expert Member

  #20
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Nilishaesema Jamnvini dhuluma hizi,ufisadi huu,uonevu huu na yote wanayoyafanya ilishageuka laana kwa hawa wana CCM-Magamba.na bado mtatendelea kuyaona mengi,walishakosa uwezo wa kufikiria na kutafakari jambo.
  Tushikamane tuyavue magamba haya.
   
Loading...