Siasa na madai ya walimu

Bishweko

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
3,029
2,216
Wakuu yawezekana kuwa hii thread siyo ya hapa ila kwa ridhaa ya wanajanvi naomba tukairuhusu tu.
Kumekuwepo mchezo mbaya hapa Tanzania wanapolitik kuingilia madai halali ya walimu.Inaleta wasi wasi mkumbwa kwamba kila kitu lazima kiamuliwe na wanasiasa bila kuangalia madhara yake kwani mambo ya utumishi ni yakitaaluma na kitaalam zaidi wakati wanasiasa wa bongo wengi wanafanya siasa kama inate tu.
Mfano walimu wapya walioajiriwa 2011 wanamadai yao halali km ya mizigo,usafiri na wategemezi lakini mpaka leo watu wanapigwa danada.
Ref. to primeminister spch,mkulo,h.ghasia on 2011/2012 financial year.
Hotuba zote ziliongea kuwa walimu wote wanaodai watalipwa madai yao kwani halmashauri zimepewa hela na kuanzia July to August lakini cha kusikitisha mpaka leo hawajalipwa labda kule ambako wabunge wanaingilia kati mfano Hai Kilimanjaro then hii inaonesha kuwa bila ya wanasiasa kuingilia katikati walimu hawana chao hasa wale wa ccm ambao hawawezi kufanya kitu kama hicho.
Naomba KUWASILISHA.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom