Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Salaam wana-JF! Katika hali ya kunishangaza mpaka moyo kushtuka kijoti, wakati napitia hotuba ya Rais JK ya sept 2011 nilishtushwa na hili,nanukuu: ".....Ndiyo maana katika Wizara ya Mambo ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Elimu kuhusu uchaguzi kwa raia wote wa Tanzania. Utangulizi Ni miaka 19 sasa tangu mfumo wa vyama vingi umeanza hapa nchini (1992-2011) na tumeishafanya uchaguzi mkuu mara 4 kwa madiawani...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Closed
Mimi, kama 'President Elect', niko tayari kuvaa gwanda endapo CHADEMA kitafanikiwa kushinda uchaguzi mdogo, jimbo la Igunga. Hii ni changamoto kwa CHADEMA na wapambe wao hapa JF, ambao macho na...
2 Reactions
3K Replies
264K Views
Katika magazeti yanayoongoza kwa uwongo TZ ni Uhuru likifuatiwa kwa karibu na Habari Leo. Leo nimecheka sana gazeti la Uhuru linasema Costa 4 zilikamatwa na zilikuwa zimebeba wanachama 1,200 wa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Ippmedia imetoa picha ya wananchi wa KIJIJI MWAMASHIMBA waliofurika kisawasawa katika mikutano ya CUF na CDM jana, na kwa sababu tumekuwa tukitumia picha kama kielelezo kimoja wapo cha ushindi...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Daa kumbe sakata la Dowans kulipwa bado linaendelea? nimesikia tu kwa mbali kwny taarifa ya habari ITV saa mbili hiii!! Wadau vp hii imekaaje? Mahakama kuu ya Tanzania kupitia Jaji Emilian Mushi...
0 Reactions
77 Replies
8K Views
Wadau naomba kujua hivi ni chombo gani cha habari hapo kesho kitakachorusha live bila chenga uchaguzi wa igunga,kuanzia upigaji kura na matokeo bila upendeleo. nasikia kule kuna utitiri wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
CDM ushindi unanukia Igunga, CCM sasa mbinu zao zote za kuchakachua matokeo zimeshajulikana, na wakijaribu mbinu yoyote ile tutawaCTV. Peeeeopleeeeeees.............
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Ukiangalia mambo critically, kuna watu ndani ya CCM wangependa CCM ishindwe Igunga ili wawashe moto kuwashutumu akina NAPE kwa kukisambaratisha chama kwa hoja yao ya kujivua gamba. natabiri ikiwa...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika hali ambayo haikutegemewa upendo wa siasa umekiama chama cha dem na maendeleo katika kampeni zake huko igunga baada ya CUF kuongeza nguvu na ccm kuja na plan mpya ya Piga tatu kwa pamoja(...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Dar drops 13 place in business ranking Send to a friend Friday, 10 September 2010 08:43 digg By Samuel Kamndaya and Florence Mugarula Tanzania has performed dismally in this year global ranking...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ninaangalia star tv dah ndugu zangu mbona uvumilivu hamna. Je nani ataibuka kidedea
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wa Jikoni anatonya kwamba 'e CCM yajaga gete'. Hawana pa kutokea. Baadhi ya dondoo muhimu: Wamama (ambao CCM ndo ina amini ni majuha na mtaji wao) wana msemo wao "Tunakula CCM, tunalala...
7 Reactions
94 Replies
11K Views
Kila taifa lina misingi yake. Misingi ambayo husimama kama maono ya aina ya taifa gani watu wanalitaka kujenga na wananchi wake hujitahidi kuifikia hiyo. Kwa mfano Wamarekani wanachukulia Tangazo...
10 Reactions
100 Replies
10K Views
Mlichagua, mkadharaulika. Siasa uchwara kutoka katika chama uchwara zimewaumiza. Kura yako kesho ndio faraja ama mateso kwako ndani ya miaka mitano ijayo. Kila la heri, wapiga kura wa igunga. Ombi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Polisi juzi walinukuliwa na gazeti la Mwananchi kukiri kwamba hawakuwa na taarifa kuhusu kufanyika kwa mkutano ambao ulipelekea kukamatwa kwa wafuasi wa CHADEMA, tunajua ni kosa kufanya mkutano...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Akiongea baada ya kuulizwa na waandishi wa habari mbunge wa ubungo John mnyika amekiri kuwasili kwa vijana hao akidai kuwa wamekuja ili kulinda kura wakiwa katika coaster 10, tunaomba jeshi la...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Wakuu: Mnaona jinsi CCM wanatumia ufisadi na mafisadi kama mtaji wa kisiasa? Nani kasema Rostam Azizi ameachana na kampeni za hapo Igunga? Yumo hadi shingoni. Zile helikopta mbili za CCM ni yeye...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
WEEKEND EDITION, SEPTEMBER 31-32, 2011 Tanzania and Illusions of Economic Sovereignty by ROBERT GORDON In 1968, Julius Nyerere, the first President of the emerging Tanzanian state, wrote a...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chama cha Demokrasia na maendeleo kinaweza kushinda hadi 74% kwa mujibu wa utafiti uliofanywa kwa muda wa wiki tatu na wanazuoni na baadhi ya waandishi wa habari Tz daima imeripoti leo. Utafiti...
5 Reactions
74 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…