Elections 2010 Only JUSTICE will save Igunga, or else...kila la HERI Watanzania wenzetu

Chief Isike

JF-Expert Member
Jan 17, 2010
445
462
Justice should be done and seen to be done in Igunga by election. Bila haki kutendeka na kuonekana ikitendeka jamani tusiwe wanafiki, itakuwa ngumu sana mambo kueleweka. Things won't be the same...any independent analyist can foresee that. Na kwa hakika kama haki haitaonekana ikitendeka, Igunga might turn to be more worse than Tarime, Busanda o Biharamulo. Hata kama wanaopaswa kuhakikisha hilo linatendeka watakuwa hawajatimiza wajibu wao huko nyuma ipasavyo, chonde chonde wasifanye mchezo au mzaha katika shughuli ya kesho...watatumbua usaha. Wasilinganishe mambo kabisa, kuwa kwa sababu waliachiwa kufanya watakavyo kucheza na matokeo katika chaguzi za Busanda na Biharamulo, wachezee na huu wa asubuhi ya leo.

Wananchi wamchague mbunge au mwakilishi wao wanayemtaka. Period. HAKI ndiyo msingi wa amani. Tumaini ni nguzo. Vitisho, mitutu, deraya, washawasha, mabomu, risasi hazitaweza kulinda na kudumisha amani ya kweli na dhati. Wana Igunga wanahitaji kupata tumaini kwa watawala na viongozi wao, kama hawaoni haki na hawana matumaini hayo, watatafuta namna ya kupata, by any means necessary. Kila la HERI wana Igunga, tunawatakia uchaguzi ulio HURU na wa HAKI (hata kama hakuna kiongozi hata mmoja niliyemsikia akiahidi jambo hili). Hii ni fursa adhimu kuipata ambayo Watanzania wengine watasubiri miaka minne ijayo kuipata. Twendeni tukaijenge nchi. Asanteni.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom