Elections 2010 @NYC-"Chagueni CCM Igunga"

Mnyakatari

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
2,008
1,766
Haya ni maneno ya mwanaJF ambaye amepotea jamvini muda mrefu kwenye wall yake facebook.Kama mnakumbuka mara ya mwisho ni pale alipotoa taarifa za uongo kuhusu Chenge kuvuliwa gamba kwenye kikao cha halmashauri kuu ya CCM kilichokuwa kikiendelea.
William Malecela:"One
more day to go, Igunga
wananchi simameni imara
mkatae siasa za ubabe,
vurugu na mahelikopta.
CCM all the way, Amani,
Utulivu na Mshikamano wa
Taifa, kama ni umasikini
hata huku USA tupo so na
Rome haikujegwa siku
moja, CHAGUENI CCM! -
Baharia Mutus!"
 
hata mimi nina akaunti FB. Toa link nimtafute.

umasikini wa marekani is note an excuse. na wala sisi si waumini wa marekani kama yeye.
 
W. Malecela lazima akitetee chama cha magamba kwa namna yoyote ile.
He's a direct beneficiary of ill-gotten wealth! Can his father account for his wealth accumulated in UK and USA? Never on earth. Malecela Jr is apprehensive at what' be fall all the mafisadis once CCM is gone. Ni nini maana ya amani na utulivu katika ubaguzi huu wa mgawanyo wa keki ya taifa? Naweza kusema watanzania they're simply patient, the patience which is running out!
 
Duh...!Huyu jamaa ameamua apeleke upupu wake facebook baada ya kuchafua hali ya hewa humu na taarifa yake ile ya uongo na ambayo ilimdhalilisha baba ake...!Ameamua aanze kujikosha kwa wazee wa chama sasa.
 
Jamaa alilishwa Kasa na Mamaaake wa Kambo (Anne Kilango) kuwa Chenge kapigwa chini,na alivyo Boya akakurupuka ku post hapa JF...
Narudia kusema na ntarudia kusema,watoto wa Viongozi wa hii Nchi ambao Baba zao ni CCM ni Vilaza kupindukia sema tu wana pata Backup za wazazi wao and Nothing,Full stop
 
Haya ni maneno ya mwanaJF ambaye amepotea jamvini muda mrefu kwenye wall yake facebook.Kama mnakumbuka mara ya mwisho ni pale alipotoa taarifa za uongo kuhusu Chenge kuvuliwa gamba kwenye kikao cha halmashauri kuu ya CCM kilichokuwa kikiendelea.
William Malecela:"One
more day to go, Igunga
wananchi simameni imara
mkatae siasa za ubabe,
vurugu na mahelikopta.
CCM all the way, Amani,
Utulivu na Mshikamano wa
Taifa, kama ni umasikini
hata huku USA tupo so na
Rome haikujegwa siku
moja, CHAGUENI CCM! -
Baharia Mutus!"

Kaacha UGOGO lini tena?
 
Mkuu, gumegume ni Toad, yale machura roho mbaya yanayokaa kwenye tope na ardhini kama maji yamekauka. Maeneo ya shamba, unaweza kupiga jembe ardhini, likaibuka na gumegume.
mzee umenichekesha sana,hivi gumegume maana yake nini?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom