Udiwani Mbeya vurugu tupu!

Bhavick

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
314
57
Vurugu mbalimbali zimejitokeza ktk kuhitimisha kampeni ktk kata ya Majengo leo.mpaka ninavyoongea vyama vya cdm na ccm vyote vimefungua kesi polisi,Cdm wakilalamika vijana wa Ccm,kuingilia mkutano wao,na kupigwa kwa kada wao,na Ccm nao wakilalamika,kupigwa kwa kada wao.mpaka sasa Mbunge wa vt maalumu Cdm,MH.Naomi Mwakyoma,na baadhi ya viongozi wanahojiwa polisi.na wakati huo huo,kundi la vijana wa Cdm,wanailinda nyumba ya kada wa Ccm kata ya Nzovwe,kwa kuhisi kuwa kuna maboks yenye kura bandia,mengine ntaendelea kuwajuza!
 
only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,524

Ni mwendo wa mapambano mpaka magamba wachanganyikiwe mwaka huu...hii miaka mitano viongozi wengi wa CCM watakonda sana...
 
Binti Magufuli

JF-Expert Member
Apr 2, 2011
7,479
5,112
Mwaka huu.... tutasikia mengi hadi kufikia 2015. Mungu Ibariki Tanzania,Mungu ibariki CHADEMA
 
Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,882
Kwa nini wahojiwe Chadema pekee wakati pande zote 2 wamepigwa watu ? Usawa wa sheria alio usema JK jana kwenye hotuba yake ni upi ?
 
ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,974
1,640
poa mkuu ila angalia usijeukaunganishwa halafu tukakosa mtu wa kutupatia feedbacks
 
Bhavick

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
314
57
waambie wasilinde wahalifu bali polisi wakakague nyumba hiyo la sivyo iwake
Taarifa nying na mipango inatoka polisi,na ofisi za halmashauri.kwa upande fulani cwalaumu sana polisi,maana mipango mingi ipo wazi,na hasa kauli iliyotoka kwa mtu ambaye ni kiongozi wa serikali(ctaji jina kwa leo)aliyesema"Ili mshinde muwe makini" Kwa uweza wa Mungu TUTASHINDA!
 
Bhavick

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
314
57
poa mkuu ila angalia usijeukaunganishwa halafu tukakosa mtu wa kutupatia feedbacks
ntajitahidi kamanda,maana leo hii,hapa majengo. Ccm-nyumba kwa nyumba.CDM-kitanda kwa kitanda,haachwi mtu!
 
Bhavick

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
314
57
Niko hospital ya Rufaa,makamanda wa Ccm wa3,waCdm wa2,waneumizwa baada ya kutokea vurugu ucku huo huko Majengo
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom