Vibweka vya Uchaguzi Igunga: Mabasi kukamatwa, masanduku kwa DC na mengineyo.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vibweka vya Uchaguzi Igunga: Mabasi kukamatwa, masanduku kwa DC na mengineyo..

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by EasyFit, Sep 30, 2011.

 1. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Chadema zimedai kuwa karatasi hizo pamoja na maboksi hayo ya kura yamehifadhiwa nyumbani kwa mkuu wa wilaya hiyo, taarifa ambazo zimekanushwa vikali na kiongozi huyo.

  Chadema kimesema kuna njama za kuingiza kura bandia Igunga na kwamba tayari karatasi na masanduku ya kura yamefikishwa mjini Nzega kwa ajili ya kuingizwa Igunga siku ya uchaguzi.

  Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika jana majira ya saa tano asubuhi katika Kata ya Nkinga, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe alisema Chadema kina taarifa za uhakika kwamba tayari karatasi hizo zimeshawasili wilyani Nzega.

  "Ndugu waandishi mlioko katika mkutano huu, hii ni taarifa rasmi ya chama na kwamba tuna taarifa za uhakika kwamba karatasi hizo zimehifadhiwa nyumbani kwa ofisa mmoja wa Serikali," alisema Mbowe.

  Aliendelea kusema kuwa tayari karatasi hizo zimeshapigwa kura na kudumbukizwa kwenye maboksi ya kupigia kura tayari kwa kuyaingiza kwenye vituo vya kupiga kura.

  Mbowe alisema kuwa tayari vijana wa Chadema wameshakwenda Nzega kuimarisha ulinzi ili kuhakikisha karatasi hizo haziingii Igunga.
  Mbowe aliendelea kusema kuwa mpango huo wa CCM unatekelezwa kwa msaada mkubwa wa usalama wa taifa na kuonya kuwa iwapo zinaingia Igunga basi hapatakalika.

  Source: Mwananchi
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Wana-Igunga, ni jukumu letu kulinda kura zetu, kama watu wa mara, mpaka kutangazwa kule. CCM ikiiba kura tena ndani ya nchi hii basi ni bore kimoja kieleweke.
   
 3. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hapo kwenye nyekundu ni kwamba taarifa za uhakika huwa hazina kawaida ya kudai bali huwa zinaeleza kwa kuwa tayari zina uhakika! pili si mara ya kwanza kwa chadema kudai kuna kura za wizi,rejea mwaka jana kule tunduma mlipodai masanduku ya kura yameingizwa nchini kumbe vipodozi na msivyo waungwana mpaka leo mmeshindwa hata kuomba radhi wakati ile ilikuwa ni fitna ambayo ingeweza kuligawa taifa vipande,tatu,msipoanza kusema uongo kama huu hamtaonewa huruma na mengi na akina sabodo tena make wamekufadhilini magari na helkopta so mnatengeneza mazingiira ya kuwa pleased! bye,tarehe 2 october kichapo kikali igunga
   
 4. gimmy's

  gimmy's JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 2,360
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  panapo toka roho si mchezo lazma kuna kutapatapa,wamesha anza tayari kulalama CDM.
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Taarifa za Tunduma zilikuwa taarifa za ukweli. Hebu fikiria kwa nini TRA waliita polisi? TRA wanajua vitu vinavyoingizwa nchini na vinavyopaswa kutozwa kodi lakini wakati huu walilazimika kuita polisi. Ni kwa nini? Usitetee kitu usichokijua. CCM ni criminals na wako tayari, kama mafis, kjufanya lolote kuendeleza uhalifu wao.
   
 6. D

  Derimto JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kama hali ikiendelea hivyo kwa mambo ya kihuni namna hii nitapanda Igunga kwa gharama zangu mwenyewe kuimarisha ulinzi kwa namna yoyote ile. Kama ni kushindwa wacha CDM. Ishindwe kwa haki lakini siyo kuwaibia kura zao.
   
 7. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Wana Igunga lindeni utuwenu na heshima yenu
   
 8. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  kudadekiiiiiii nahamia Igunga. siwezi kula raha wakati wana igunga akijaeleweka.
   
 9. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,731
  Likes Received: 1,441
  Trophy Points: 280
  That's democracy African style. Honestly, our mentality towards ballot power is at best pathetic. Zambia's case is demonstratively isolated. Just dare think of all the power and resources ushered by CCM gov't for merely a constituency election and u wouldn't be dumbfumbled by ailing and poverty so engraved the country. Probably, ballots are not the only way of changing Tz, a credible amount of sheer will and force should put in the mix.
   
 10. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Hivi kweli, inakuja akilini kweli. Ninavyojua mawakala wote wanakagua maboksi yote kabla ya watu kuanza kupiga kura. Hizo kura bandia si wataziona?
  Hizi kelele zinatuchosha, wajaribu kufikirisha ubongo.
   
 11. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,138
  Trophy Points: 280
  Uongo huo! nani wa kuaminika CHADEMA?
   
 12. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #12
  Sep 30, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280
  Kama wanajua yalipo na yanavyopangwa kutumiwa kwanini wasitumie muda kupanga kuyakamata "live"? Ingekuwa ndio ushahidi mzuri kweli hasa kwenye mazingira ya digital camera na internet.. sasa yasipotokea Jumapili tutaamini kuwa yamedhibitiwa siyo? Na kama hayakuwepo? Chadema ina mawakala kwenye kila kituo?
   
 13. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #13
  Sep 30, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  CCM kura hizo za wizi huwa wanapeleka kwenye eneo la kukusanyia masanduku hasa kwa wakurugenzi wa halmashauri,na watu wakizubaa tu kidogo karata zinachanganywa na wanatangaza kutokana na walivyo chakachua.
   
 14. M

  Mkwakwasu Member

  #14
  Sep 30, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo mkuu wa wilaya ya nzega atekwe ili aeleze vizuri.Hawa washenz wamezoea kuiba.
   
 15. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #15
  Sep 30, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wewe ulitaka wakubali CCM kuwa kweli yale yalikuwa ni mabox ya kura kule Tunduma? Tuache unafiki, madai haya si ya kuyapuuza hata kidogo inawezekana yakawa na element ya ukweli kwa maana tumeshuhudia mkurugenzi wa TISS kwa mara ya kwanza akijibu tuhuma kama hizi katika uchaguzi uliopita! Mimi naomba tusiingilie demekrasia, tuliichagua tuache ifanye kazi kwa wana Igunga kumchagua kiongozi wao wanayemtaka.
   
 16. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #16
  Sep 30, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Haya yanawezekana,kwani asiejua ccm walivyokua wezi wa kura ni nani? Wana mbinu chafu hawa na hawajaanza leo huu wizi wanaoufanya,ngoja tusubiri.
   
 17. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #17
  Sep 30, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Triki hii hutumika sana maeneo ambayo wanakubalika na hayana ulinzi wa kutosha, yaani wasimamizi wanahongwa kisha linakuja box feki linawekwa kama ndilo lililotumika kupiga kura na kwenye kujumlisha kura, wanacheza na system kwa kuongeza kura kwenye baadhi ya majimbo tofauti kwenye vituo. Mchezo huu unahatarisha amani sana endapo wananchi kuna siku watachoka.
   
 18. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #18
  Sep 30, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  yan wizi wa kura na manipulations ya uchaguzi ndo mchezo wa ccm duh!
   
 19. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #19
  Sep 30, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Unafafana na ule wa CDM kuingiza makomandoo 33 au ule uliokiua chama cha CUF kuwa kimeingiza mapanga na visu? CCM ni mabingwa wa propaganda, isipokuwa saizi wamekutana na barrier kubwa ya uelewa wa wananchi na kiu kubwa ya kuona mabadiliko baada ya kuichoka CCM na sera zake zisizo tekelezeka.
   
 20. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #20
  Sep 30, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,142
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  andika kiswahili, unatuibia mda mwingi wa kutafakari lugha yako ya kigeni. Au wewe mkenya?
   
Loading...