Elections 2010 Live CHADEMA Igunga kupitia sibuka tv..

Uncle Rukus

JF-Expert Member
Jun 16, 2010
2,415
398
Kwa wale wenye king'amuzi tizameni Sibuka TV Wanaonyesha mkutano wa chadema live
 
Kwa nini wanatumia sibuka tv na siyo itv, chanel 10, star tv au tbc zinazopatikana kwa wote
 
Kwanza sio live...ni mikutano mbalimbali waliofanya cdm pale igunga..
 
Jamani fungueni channel ya SIBUKA ili muweze kuwapima wagombea Ubunge jimbo la Igunga wakimwaga sera zao..........................................
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom