kesho ni chaguzi ishirini na tatu na sio igunga tuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kesho ni chaguzi ishirini na tatu na sio igunga tuu

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Kiranja, Oct 1, 2011.

 1. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2011
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wadau nomeona mnakadili igunga na kusahau kuwa kunakata ishirini na mbili,ambazo nazo zonafanya uchaguzi wa madiwani.naomba kuwatajia ili mfiatilie na huko ni chadema na ccm ndo wameweka wagombea ,nazo ni mara moja tarime,moja serengeti na tatu rorya, mbeya kata mbili za mjini, ruvuma kata moja, iringa kata mbili mjini,tabora kata moja uyui,arusha kata moja monduli,dodoma kata mbili mjini ,singida kata moja iramba,shinyanga kata moja mjini. Kuna haja ya kufuatilia chaguzi hizi zina maana kubwa sana kwenye siasa za taifa hili letu. Nawasilisha
   
 2. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  Tunaomba haki na uwazi vitawale
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Asante mkuu,i hope uta tupatia matokeo pia
   
 4. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Asante kwa kutukumbusha. Mungu akubariki.
   
 5. S

  Stany JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Shukran mi mwenyewe cjapata updates kuhusu msimamo na hal ya siasa kwenye baadh ya kata,ie cv and competence za madiwan wetu
   
 6. S

  Stany JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Shukran mi mwenyewe cjapata updates kuhusu msimamo na hal ya siasa kwenye baadh ya kata,ie cv and competence,kukucliwa kwa madiwan wetu
   
 7. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hzi za iringa ni wazi kua bw KALOLO na SAMBALA wanachkua
   
 8. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  vyama wanavyowakilisha plz!
   
 9. M

  Mpigania haki Member

  #9
  Oct 2, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umesahau na Mwanza kata 1, kirumba
   
Loading...