Viongozi CHADEMA wapigana na Mgombea wa CUF Nandekwa

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
Ilikuwa ni vurugu tupu hapa katika kijiji cha Nandekwa mpaka Mgombea wa CUF na Viongozi wa Chadema wamefikia kukunjana, kisa Vyama hivyo vipo vinafanya mikutano karibu ambapo Helkopta ya Chadema ndio iliyoanza kutua na kukusanya umati wa watu na baadaye Helkopta ya CUF nayo ilionekana angani ambapo alipita chini chini katika mkutano wa CDM na watu wote walihamia katika mkutano.

Jazba za viongozi wa CDM waliondoka kwenda katika mkutano CUF kuleta vurugu ambapo wamefikia kukunjana, bahati jeshi la polisi limeweza kutuliza ghasia na mkutano wa CUF Unaendelea, kabla ya kwenda kuhitimisha Igunga mjini saa 10.
 
Mimibaba

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
4,558
1,286
ilikuwa ni vurugu tupu hapa katika kijiji cha Nandekwa mpaka Mgombea wa CUF na Viongozi wa Chadema wamefikia kukunjana, kisa Vyama hivyo vipo vinafanya mikutano karibu ambapo Helkopta ya Chadema ndio iliyoanza kutua na kukusanya umati wa watu na baadaye Helkopta ya CUF nayo ilionekana angani ambapo alipita chini chini katika mkutano wa CDM na watu wote walihamia katika mkutano, Jazba za viongozi wa CDM waliondoka kwenda katika mkutano CUF kuleta vurugu ambapo wamefikia kukunjana, bahati jeshi la polisi limeweza kutuliza ghasia na mkutano wa CUF Unaendelea, kabla ya kwenda kuhitimisha Igunga mjini saa 10.

Mwelekeo wako wa kutoa taarifa una mashaka makubwa.
 
only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,524
.........Mods kuanzia sasa zuiheni threads za Igunga,tusubiri za matokeo tu...
 
Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,524
13,100
Ilikuwa ni vurugu tupu hapa katika kijiji cha Nandekwa mpaka Mgombea wa CUF na Viongozi wa Chadema wamefikia kukunjana, kisa Vyama hivyo vipo vinafanya mikutano karibu ambapo Helkopta ya Chadema ndio iliyoanza kutua na kukusanya umati wa watu na baadaye Helkopta ya CUF nayo ilionekana angani ambapo alipita chini chini katika mkutano wa CDM na watu wote walihamia katika mkutano.

Jazba za viongozi wa CDM waliondoka kwenda katika mkutano CUF kuleta vurugu ambapo wamefikia kukunjana, bahati jeshi la polisi limeweza kutuliza ghasia na mkutano wa CUF Unaendelea, kabla ya kwenda kuhitimisha Igunga mjini saa 10.

mkigoma a.k.a mtatiro.Pole sana yamekufika
 
Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,900
9,853
Ilikuwa ni vurugu tupu hapa katika kijiji cha Nandekwa mpaka Mgombea wa CUF na Viongozi wa Chadema wamefikia kukunjana, kisa Vyama hivyo vipo vinafanya mikutano karibu ambapo Helkopta ya Chadema ndio iliyoanza kutua na kukusanya umati wa watu na baadaye Helkopta ya CUF nayo ilionekana angani ambapo alipita chini chini katika mkutano wa CDM na watu wote walihamia katika mkutano.

Jazba za viongozi wa CDM waliondoka kwenda katika mkutano CUF kuleta vurugu ambapo wamefikia kukunjana, bahati jeshi la polisi limeweza kutuliza ghasia na mkutano wa CUF Unaendelea, kabla ya kwenda kuhitimisha Igunga mjini saa 10.

Mkuu una maana Nyandekwa au? Nimeondoka miaka mingi Igunga ila sikumbuki kuacha kijiji kinaitwa Nandekwa nakumbuka Nyandekwa! Tuyaache hayo vyote ni vijiji tu kama vipo. Kwa hiyo Mkuu unataka kusema kwamba CDM ni wagomvi tuu, wanataka wao tuuu ndio wawe na Helkopita kwa kuwa ni waasisi wa Helkopita?
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
43,204
25,659
Kwani Igunga hakuna Heliport, popote tu Helicopter inatua?
 
Mwita Maranya

JF-Expert Member
Jul 1, 2008
10,565
7,944
Ilikuwa ni vurugu tupu hapa katika kijiji cha Nandekwa mpaka Mgombea wa CUF na Viongozi wa Chadema wamefikia kukunjana, kisa Vyama hivyo vipo vinafanya mikutano karibu ambapo Helkopta ya Chadema ndio iliyoanza kutua na kukusanya umati wa watu na baadaye Helkopta ya CUF nayo ilionekana angani ambapo alipita chini chini katika mkutano wa CDM na watu wote walihamia katika mkutano.

Jazba za viongozi wa CDM waliondoka kwenda katika mkutano CUF kuleta vurugu ambapo wamefikia kukunjana, bahati jeshi la polisi limeweza kutuliza ghasia na mkutano wa CUF Unaendelea, kabla ya kwenda kuhitimisha Igunga mjini saa 10.

Kwanza sitarajii kabisa kwamba vyama viwili vinaweza kufanyia mkutano wa kampeni kijiji kimoja kwa siku moja na muda ukagongana kama unavyoripoti, sidhani kwamba tume ya uchaguzi inaweza kufanya kosa kama hilo hata kama wana madhaifu mengi tunayoyafahamu.

Pili kwa aina ya ripoti unazozitoa hapa JF siwezi kuiamini taarifa yako kwani viongozi wa chadema hawawezi kuacha mkutano wao waende kwenye mkutano wa cuf. Kilicho dhahiri ni muendelezo wa tabia ya cuf kupiga propaganda dhidi ya chadema ili kumsaidia mshirika wao ccm.
 
MPUMBWI

Member
Sep 11, 2011
28
4
Tujitenge na uongo tutakuwa huru ikiwa mkuu umetoa taarifa ya ukweli mungu akubariki na ikiwa umechakachua utatoa hesabu ya matendo yako mwisho wa siku naamini kuwa wana jf tukotayari kusema ukweli daima na kuielimisha jamii vizuri tuwe chanzo cha mabadiliko taarifa inayotolewa lazima ibalance na ionyeshe uhalisia take care!
 
Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,707
8,808
attachment.php
 
Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,738
2,090
yaaaaaani moja ya watu ambao mmezaraulika hapa jamvini one of them is Mkigoma....
 
Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
297
Mbona aliyekamatwa na polisi ni Leopard ? CDM wako wapi hapo?
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom