Ikulu yatoa 'Nembo Rasmi' ya sherehe za miaka 50 ya uhuru

Msanii

JF-Expert Member
Jul 4, 2007
8,691
2,000
attachment.php

Wadau,
Hiyo ndiyo nembo ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika ambayo imepitishwa rasmi na Kamati ya Taifa ya Madhimisho hayo chini ya Katibu Mkuu Kiongozi.. 

Attachments

  • D - NEMBO YA MIAKA 50 (SWAHILI).jpg
    File size
    84.4 KB
    Views
    616

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,523
2,000
hatuna la kujivunia,ni heri mkoloni alileta maendeleo kuliko utawala wetu uliofuata!!!50yrs of independence for what?
 

Mr.Professional

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,583
1,195
Haina mashiko kwa kupoteza pesa za walipa kodi kufanya sherehe ya nchi ambayo haijawahi kupata uhuru kwani iliyopata uhuru ni
Tanganyika na siyo story za Tanzania bara. Maadui wa Tanganyika maradhi, ujinga, na umasikini bado yapo na tumeongezewa na ufisadi na janga la umeme still tunasherehekea what for?
 

Feedback

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
7,993
1,500
Nchi yenyewe iko wapi mimi siku hiyo nitavaa kitambaa cheusi mkononi kuomboleza.
 

POMPO

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
6,690
1,195
Nasikia mbunifu wake ni muhindi ameshakula million hamsin tsh 50, kwa ajili ya kubuni hicho kitu..... Tanzania tanzania tanzaina.....
 

AirTanzania

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
1,139
2,000
attachment.php

Wadau,
Hiyo ndiyo nembo ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika ambayo imepitishwa rasmi na Kamati ya Taifa ya Madhimisho hayo chini ya Katibu Mkuu Kiongozi..
Wameweza nini? Kuiba Rasilimali zetu? Ikulu sikuhizi imegeuzwa Kichaka cha Majambazi sugu 1 kikoongozwa Fisadi Papa Kikwete. Hebu watutolee upumbavu wao huko. watasheherekea wajinga na wapumbavu hiyo siku, Tunachodai ni Uhuru wetu wa kweli na haki zetu za uttu
 

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,739
2,000
hivi tanzania zipo mbili?yaani tanzania bara na tanzania visiwani?kwanini wasiseme TANGANYIKA?au tanganyika ni dhambi.yangu macho.
 

Rugaijamu

JF-Expert Member
Jul 10, 2010
2,940
2,000
Mimi sikubaliani na hao walioipitisha hiyo nembo kwa sababu inaupotosha umma wa watanzania...Kwa nini tunalazimishwa kuukataa UKWELI,kwa kupindisha historia?Kwa nini nembo iwe na alama ya bendera ya TANZANIA,wakati tunaadhimisha miaka 50 ya uhuru wa TANGANYIKA?
 

BPM

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,761
2,000
hivi ni miaka 50 ya tanganyika au tanzania ??? hainiingii akilini kama ni tanzania wana miaka 46 na si hamsini jamani hata hesabu za kujumlisha magamba hawawezi?????
 

HAKI bin AMANI

Senior Member
Sep 5, 2011
156
0
Haina mashiko kwa kupoteza pesa za walipa kodi kufanya sherehe ya nchi ambayo haijawahi kupata uhuru kwani iliyopata uhuru ni
Tanganyika na siyo story za Tanzania bara. Maadui wa Tanganyika maradhi, ujinga, na umasikini bado yapo na tumeongezewa na ufisadi na janga la umeme still tunasherehekea what for?

CCM ndiyo kiongozi wa maadui hao ndiyo that is why wanaposema 'Rushwa ni adui wa haki' ina maana kwamba katika maadui wenye haki ya kuwepo katika nchi hii ni pamoja na Rushwa. Tia akilini.
 

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,604
1,225
Mwenge wa uhuru upo wap siku hz? then zile nyimbo zake nshazisahau. Kweli dunia hii ya utandawazi!
 

simtami

Member
Aug 22, 2011
28
0
Wadau,
Hiyo ndiyo nembo ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika ambayo imepitishwa rasmi na Kamati ya Taifa ya Madhimisho hayo chini ya Katibu Mkuu Kiongozi..NA HII BENDERA KWENYENEMBO INA MIAKA MINGAPI MPAKA 9/12/2011! NAOMBA MWENYE CV YA LUHANJO AIWEKE HAPA JF TUONE SHULE ALIZOSOMA ZINAITWAJE NISIJE KUPELEKA MTOTO WANGU HUKO.HIYO BENDERA KWENYE NEMBO NA JINA LA TANZANIA BARA WAPI NA WAPI HAYA SALVA NJOO UTOE UFAFANUZI.MSITUKUMBSHE MBALI JAMANI TANGANYIKA YETU TUTAITAFUTA TU MKISHA TUNGA SHERIA YENU YA URAIA WA NCHI MBILIMTAKWENZA NA TANZANIA BARA YENU SISI TUTARUDISHA TANGANYIKA YETU.
 

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
6,942
0
Nembo hiyo ni idea nzuri ila tu bendera iwe ni ya Tanganyika badala ya hiyo ya Tanzania hapo juu.
 

Feedback

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
7,993
1,500
Hivi kuandika neno Tanganyika ni uhaini? kwanini tusijivunie hilo jina ningeshauri badala ya kuandika Tanzania Bara ambayo haikupata uhuru iandikwe miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika.
 

Maishamapya

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
1,279
1,500
Jamani naona nimesahau historia. Naomba mnikumbushe. Hivi kuna nchi ilipata uhuru mwaka 1961 inayoitwa Tanzania bara? Iko wapi kwenye ramani ya ulimwengu wa wakati huo? Naomba mnisaidie ili niwasaidie watoto wangu kujua historia ambayo huenda nimeisahau.
 

QUALITY

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
853
0
attachment.php

wadau,
hiyo ndiyo nembo ya miaka 50 ya uhuru wa tanganyika ambayo imepitishwa rasmi na kamati ya taifa ya madhimisho hayo chini ya katibu mkuu kiongozi..
tunataka madawa hospitalini; hatutaki nembo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom