Dalili zinaashiria CDM kuibuka na ushindi dhidi ya CCM.
MODERATOR NAYE ANAJARIBU KUCHAKACHUA,,,, UKWELI NI KWAMBA CDM INAONGOZA. KURA ZA VIJIJINI MNAZOZIONA SIO HALISI KAMA ZILIVYO KWENYE...
Nimefanya uchunguzi sahihi na nimejiridhisha vya kutosha kuwa aliyepost kule twitter na hapa jf si Zitto Zuberi Kabwe (MB) kigoma kaskazini!
Ametumia vibaya jukwaa hili na ameudanganya umma wa...
Matokeo hayajatangazwa mpaka sasa labda mpaka mchana ila ushindani ni mkali ccm na cdm source bbc swahili saa 12
==============
UPDATE
==============
Wale wenye access, watch Channel Ten Now...
Wanasiasa wa Tanzania wanatakiwa kujua kuwa kwa sasa watanzania hawajali ni chama gani kinashinda uchaguzi. Wao wanataka kuwa na maisha mazuri. Hivyo basi chama kitakachoonyesha kuwa kitawaletea...
Ushindi wa CCM Igunga ni obvious kutokana na sababu moja kuu, kwamba wapiga kura ni watu wenye uelewa mdogo sana kuliko mimi na ww, na wale wenye uelewa mkubwa tuseme wasomi ndiyo hao ambao mara...
Naamini muda umefika kwa nchi yetu hii sasa kuwa na utaratibu utakaoleta tija kwa taifa. Na kwa kuanzia inatakiwa makamanda wa polisi wa mkoa (RPCs) na wilaya (OCDs) wasiwe wanapewa hizi nafasi...
Lowassa ana uhuru kama mtanzania yeyote ile kugombea nafasi yeyote ile hapa nchini! wengi mmekuwa mkisema anagombea 2015 this is not news!! please mkimsema Lowassa epukeni ili ....maana ana uhuru...
Wadau, nimekua nikitafakari sana mwenendo mzima wa uchaguzi unaomalizika katika jimbo la Igunga, kwa kuhusianisha na suala zima la CCM kujivua magamba; kwa mtizamo wangu suala hili halitawezekana...
Hali inayoendelea igunga hadi sasa ni kweli wananchi na wenye maslahi na uchaguzi huo wanashindania kushinda na kupata ubunge kwa KAFUMU au KASHINDYE au MAHONA? Au kuna lazaidi? mi nadhani sio tu...
Mabalozi wa nyumba wamekuwa wakitumika kwenye kila uchaguzi kukisidia chama cha Magamba kuiba kura au kuwatisha wapiga kura hasa wanaonekana kuwa ni wafuasi wa vyama vya upinzani. Hii tabia...
Ndugu wana JF wenzangu, nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu sana hili swala la uungwaji mkono na vijana kwenye mikutano ya vyama vya upinzani na kufikiri kwamba muda si mrefu chama hiki dhalimu...
Kwa taarifa nilizozipata hivi punde kutoka kwa mtu wangu wa karibu sana.Katika uchaguzi uliokuwa unafanyika wa udiwani wa kata ya stendi kuu Chama cha bemokrasia na maendeleo chadema kimeibuka...
Jamani hivi sisi akili zetu zikoje? Mtu anayeoneka haramu tumeshuhudia akimnadi mrith wake ndani ya chama chenye siasa uchwara kwa mujib wake! Hii imekaaje? Na hiyo maana yake ni nini!???
Chama cha Wananchi CUF, kinawiwa na wanachama wake tamko mahsusi kuwa ni nini hatma yake kwa sasa. Uchaguzi wa Igunga unafanyika katika mkoa ambao anatokea mwenyekiti wa chama, pamoja na mbunge...
Habari wana JF,
Niwape hongole wale waloshinda katika uchaguzi na niwape pole walioshindwa kwa sababu zozote zile.
Pamoja na matokeo na idadi ya kura zilizotangwazwa, nimepata mshtuko mkubwa...
Habari zenyu jf binafsi mimi nashangaa sana mitandao ya kijamii kutoa matokeo ya uchaguzi igunga hali kadhalika tume ya uchaguzi haijatangaza hata hivyo matokeo yanaweza kuchelewa kutangazwa...
Wakuu nilimwahidi Nape kama nnavyosomeka hapa chini kumpa USD 100 kama ataenda Igunga na akahutubia mkutano wa kampeni. Hii ni kutokana na maneno yake mwenyewe kama anavyosomeka hapa chini. Sasa...
Matukio yanayopelekea Ccm kushinda siyo Sera na Imani ya Wananchi kwa Chama bali nguvu kubwa inayotumiwa na Serikali dhidi ya Upinzani,Mfano Magari yaliyotumika kwenye Chaguzi zote mengi ni mali...