Wakati mchakato wa kampeni ukipamba moto huko Igunga, yalitokea maafa ya nyumba kadhaa kuezuliwa eneo la mbagala na kusababisha wananchi zaidi ya 600 kukosa makazi, wengine kujeruhiwa na kukosa...
natarajia kuiona chopa ya cuf ikitua mwanza na kuchukua angalau udiwani wa pale kata ya kirumba, mwanza ili kupoza manundu ya asilimia nne 4% tulioyopata pale igunga. Wana cuf wa mwanza tujipange...
....Uchaguzi mdogo wa kiti cha ubunge umemalizika,kuna mapungufu mbalimbali yameonekana,mengine yametokana na namna sheria yetu(Katiba na sheria nyingine ndogo ndogo zinazohusiana na uchaguzi)...
Peopleee's Power!! Naomba niwape pongezi uongozi mzima wa CHADEMA kwa mafanikio mliofikia huko Igunga, binafsi nayaita "mafanio," maana kuanzia 0 hadi maelfu ya kura ni...
Kwa wenye access na Channel Ten, watch kipindi cha Channel Ten on Monday Live!, Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe yuko hewani...
Mwenyekiti Mbowe amesema uchaguzi huo haukuwa huru na wa...
Katibu mwenezi wa Chama cha Mapinduzi, Nape Mnauye, ameelezea kushangazwa kwake na Watanzania ambao wamekuwa wazichukulia chaguzi mbalimbali ndogo ndogo zinazoendelea katika sehemu mbalimbali...
Ndugu zangu, kulikoni mzee wa kasi mpya hakuonekana Igunga, ama hajapona madonda ya swaiba wake RA? Au aliambiwa akienda atakukumbushia siasa uchwara tafadhali mwenye kujua lolote kuhusu hili...
Wanajamvi tukumbushane tusije tukasahau: Ni chama gani kile ambacho kimejipatia ushindi Igunga kwa kutumia mtutu wa bunduki -- kuzionyesha majukwaani na kuzifyatua?
Wakati juzi trh 2.10.2011 ukifanyika uchaguzi wa Mbunge Jimbo la Igunga, vile vile kulikuwa na chaguzi 22 za madiwani zilizokuwa zinaendelea sehemu mbali mbali.
Katika uchaguzi wa Igunga , sina...
Sunday, 02 October 2011 20:50
Bendera ya Chama cha Maendeleo (Chadema)
Waandishi Wetu Mwananchi
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeshinda kiti cha udiwani katika Kata ya...
Hapa jamani nimechanganyikiwa kabisa
uhuru wa tanganyika 9 december 1961
uhuru wa zanzibar kutoka kwa sultani 12 january 1964
muungano wa tanganyika na znz 26 april 1964...
Ukitaka kujua progress ya vyama vya upinzani angalia chaguzi zilizopita utapa picha nzuri ulikotoka na inakuwa rahisi kujua unapoelekea
naamini kabisa kama kuna mtu atafanikiwa kupata matokeo yale...
Inasikitisha sana kuona watanzania kuwa ni wepesi sana wa kulalamikia hali ngumu tulonayo na udhalimu tufanyiwao na viongozi wetu ilhali tunashindwa kutimiza hasira zetu kwenye sanduku la...
watanzania wenzangu tujifunze kutoka kwa wenzetu wachaga. Shule za kata huko Kilmanjaro zilianza miaka mingi. Leo viongozi wetu wetu wanatusambazia urithi huu wa elimu tunawabeza. Mmeona faida ya...
Inasikitisha na inaumiza sana kuona serikali yetu isivyo ni mipango madhubuti,yaani timu ya soka ya Tp Mayembe inamiliki ndege mbili.Tz hatuna ndege hata moja,ila tunaambia viwanja vitapanulia.HII...
Wachina wamewapandishia mshahara wafanyakazi kwenye makaa ya mawe kwa asilimia 80....wamefanya hili bila hata ya tamko lolote toka serikalini
source DW swahili
Vipi Tanzania na CCM yetu?
Wiki zipatazo tatu zilizopita Mzee Msekwa [Boss wa Nape] akiwa kama makamu wa mwenyekiti wa ccm alikiri kuwa ccm imepoteza mvuto. Hivi karibuni kati wa uenezi Nape nauye kaibuka na takwimu akisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.