Papa D
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 753
- 182
Wiki zipatazo tatu zilizopita Mzee Msekwa [Boss wa Nape] akiwa kama makamu wa mwenyekiti wa ccm alikiri kuwa ccm imepoteza mvuto. Hivi karibuni kati wa uenezi Nape nauye kaibuka na takwimu akisema ccm haijapoteza mvuto.
Tatizo langu ni kwamba:-
Hivi nape alitoa zile takwimu kumjibu Boss wake au kuongezea kwenye yale ya boss wake?
Kama sivyo, Je ccm ina aina mbili za takwimu yaani ile ya Mwenyekiti na ile ya sekretarieti?
Je, sisi tusio na vyama vya siasa tunukuu takwimu zipi kati ya zile za nape na zile za Msekwa?