CDM and the pipoz pawa imefanya kila linalohitajika kuleta uelewa wa ukombozi wa kweli,lakini bado wanyonyaji ccm wameendelea kushinda katika sanduku la kura, inawezekana wanaiba kura kwa...
Nimefuatilia kwa makini matokeo ya uchaguzi wa Igunga wa tarehe 2/10/2011. Chadema Imeshinda, imevuna Kura 23,260 from ZERO ndani ya mwaka mmoja ikiwa Imeshindwa na CCM kwa kura 26,484 kwa margin...
By ROSE ATHUMANI, 4th October 2011
THE government is in the process of reviewing laws and regulations on possession of firearms to enhance control over the weapons.
The Inspector General of...
Ndugu zangu wanajamii ni matumaini makubwa kwa CDM kwa kile kilicho dhihirika Igunga licha ya kumwagwa kwa billion 10 na magamba. wito ni kwa chama chetu chakizalendo CDM kuelekeza mashambulizi...
kimtazamo, uhuru tunaopaswa kusherekea ni kuzaliwa kwa taifa la tanganyika, hata bendera inayotumiwa ni ya jamhuri ya muungano wa tanzania, viongozi wameuza utuwetu watanganyika katika muungano...
wana jf,napenda kutoa maoni yangu kama mtz,nchi inavyo enda nazani si kama lina viongozi makini na nazani kuna haja ya msingi wa kufanya mabadiliko yasiyo jali itikadi za vyama,tufanye mabadiliko...
Kwanza nawapa pole kwa wote wenye kuwa na elimu ya uraia na uzalendo kwa nchi yaopili tunapaswa kuwashukuru ccm na serikali yao kwa kufauru kwa haya yafuatayo:
Wamefauru kuwanyima elimu ya...
Naanza kuamini kauli ya Pinda kuwa mafisadi wana nguvu, hii inadhihirishwa na ushindi wa fedha walioupata CCM igunga. Kazi iliyombele kwa chadema ni Kuzidisha mapambano ya ukombozi wa nchii...
Nimefanya utafiti nikagundua kuwa karatasi ya kura ata bila ya kupigwa ikipata unyevunyevu au ukiimwagia maji inaonyesha tayari tiki imepigwa kwenye sehemu ya CCM
kama kuna yeyote mwenye shaka...
Tuesday, 04 October 2011 20:13
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Wilson Mkama
Waandishi wetu
MATOKEO ya uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga yamepokewa kwa mitazamo tofauti, huku baadhi ya wasomi...
Jana usiku sana hapa ugenini nilipata kuona kwenye news za tano Tanzania ITV. Ndipo nikamuona balozi wa Vatican Askofu mkuu sijui nani katinga Ikulu na salaam za Papa lakini pia alikuwa ana aga...
Ndugu wanaJF, kwa hali inavyojionesha CCM inahaha sana mbunge au diwani wake akijiuzuru au akifa maana hakuna uhakika tena wa kuchaguliwa mbunge au diwani wa chama hicho. Hebu angalia nguvu...
CDM kwa CCM hana tofauti na mtoto mdogo tena uliemlea mwenyewe tabia zake lazma uzifaham.Sisi tumewazoea haya vp kelele zenu zimeishia wapi?Vipi CCM wameingiza tena kontena la vipodoz?
Ushindi ni...
Tue, Oct 4th, 2011
Tue, Oct 4th, 2011| Tanzania
Inspector General of Police (IGP), Saidi Mwema
The government is in the process of reviewing laws and regulations on possession of firearms...
Nilikuwa nasikiliza Sauti Amerika wameripoti kuwa katika kata moja huko Igunga wakati watu wanaendelea kupiga kura lilipita gari la sisiem likatangaza eti mgombea wa chadema amejitoa hivyo...
Nimemsikia Nape akitapika na kula matapishi kwenye taarifa ya habari ya moja ya vituo vya redio hapa Bongo.
Ati Chadema wamebaka demokrasia. Sijui huyu mtumia-mkorogo ameupata wapi huu msemo wa...
Tuesday, 04 October 2011 21:23
Dr Azaveli Feza Lwaitama
Dr Lwaitama is a senior lecturer, Philosophy Programme, University of Dar es Salaam
THINKING CRITICALLY
kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com...
C O N F I D E N T I A L SECTION 01 OF 02 HARARE 000977
SIPDIS
AF/S FOR BRIAN WALCH
NSC FOR SENIOR AFRICA DIRECTOR MICHELLE GAVIN
E.O. 12958: DECL: 12/16/2019
TAGS: PREL PGOV ZI TZ
SUBJECT...
Ikiwa ni siku ya 4 tangu tuanze mwezi wa 10, wa2mishi wa selikali hapa wilayani wanaendelea kupitia hali ngumu ya maisha kwani mishahara ya mwezi jana haijatoka! na hakuna sababu ya msingi...
Watanzania tunapenda kuchezewa akili sana,nakumbuka yule jamaa alipewa promo sana kwenye media kuliko ata ajali ya meli,cha ajabu hizo media ata hazimtafuti sasa baada ya uchaguzi.Kajidhalilisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.