Kwenye katiba mpya: Nini tukipiganie kiwepo kuhusu chaguzi zetu.........?


only83

only83

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
5,339
Likes
522
Points
280
only83

only83

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
5,339 522 280
....Uchaguzi mdogo wa kiti cha ubunge umemalizika,kuna mapungufu mbalimbali yameonekana,mengine yametokana na namna sheria yetu(Katiba na sheria nyingine ndogo ndogo zinazohusiana na uchaguzi) ilivyotungwa...lakini pia kuna mapungufu mengine yamefanywa makusudi lakini yakilindwa na katiba yetu na sheria zetu mbovu mfano/mathalani mfumo wa Tume na wasimamizi wa uchaguzi kuwa mkurugenzi wa wilaya..haiwezekani mkuu wa uchaguzi awe mkuu wa wilaya au mkurugenzi(wateule wa raisi)halafu utegemee kutakuwa na usawa hapo..

Je,Vitu gani tunapaswa kuvipigania katika katiba mpya,kwenye eneo la chaguzi zetu hasa wa 2015 kama Mungu akitujalia kuufikia?
 

Forum statistics

Threads 1,235,558
Members 474,641
Posts 29,226,786