Je, wajua kwa nini Kikwete hakuonekana kwenye kampeni Igunga? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, wajua kwa nini Kikwete hakuonekana kwenye kampeni Igunga?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by sweetbertrutamb, Oct 4, 2011.

 1. s

  sweetbertrutamb Member

  #1
  Oct 4, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu, kulikoni mzee wa kasi mpya hakuonekana Igunga, ama hajapona madonda ya swaiba wake RA? Au aliambiwa akienda atakukumbushia siasa uchwara tafadhali mwenye kujua lolote kuhusu hili tuwaanikie watz waweze kujua huyu jamaa alivyo maana yake usanii tu. Nitashukuru kwa michango yenu.
   
 2. O

  Omr JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi wewe ulitaka CDM wasipate kura hata hizo walizopata? Big boss amewahurumia na ndio sababu ya kutuma watu wake. Au unafikiri CCM ni chama njaa kama CDM walio peleka Chama kizima huko Igunga. Na lazima ukumbuke huu ni uchaguzi mdogo sana kwa mtu wa muhimu kama Kikwete.
   
 3. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  CCM ina jeshi kubwa sana , na hakuna haja yakupeleka silaha nzito km hizi zinaitwa silaha za maangamizi. Wapeleka jeshi dogo tu lakina magufuli, wasirra, mwingulu, mkama nk umeona kilio cdm walicho kipata . Na hata soma maoni yao humu JF utaona ni watu waliokata tamaa,wenye hasira na wenye fadhaaaa
   
 4. O

  Omr JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kipogo cha mbwa mzee, mpaka wamepagawa.
   
 5. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #5
  Oct 4, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,401
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Kwann kuua mende kwa nyundo?
   
 6. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Kuna hoja nyingi angeshindwa kuzitolea majibu. Na yaye kama 'rais' ingekuwa aibu kubwa sana. Si unajua yule ni mtu wa matukio mepesi!
   
 7. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,419
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  yaani huwa nikisoma post zako huwa ninajiuliza uwezo wa masaburi yako kwani una iq ya chini sana......

  una uwerzo mdogo sana wa analysis yaasni haionyeshi kama ulibahatika kuingia sekondari japo ya kata.....

  haya take home assignment:

  1. calculate by percentage ushindi wa CCM igunga 2010...................................1

  2. calculate by percentage ushindi wenye mashaka wa CCM + serekali igunga 2011...................11

  2. calculate by percentage kura za chadema igunga 2010...............................111

  3. calculate by percentage kura za chadema igunga 2011................................iv

  kujua anguko la CCM in percentage = 1 - 11*100/11

  kujua kupanda kwa chadema in percentage = iv - iii*100/ i

  ukimaliza uje na jibu nikupe method ya linear regression
   
 8. O

  Omr JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mtachonga sana safari hii lakini kipigo cha kiutu uzima mmekipata, itachukua muda mpaka majeraha yapone.
   
 9. O

  Omr JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama hii ndio njia yenu ya kujiliwaza basi ni poa tu. Ukweli uko pale pale. Kushindwa ni kushindwa, kwa kura moja au elfu.
   
 10. HISIA KALI

  HISIA KALI JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aliogopa aibu ya kusomewa na wananchi wa Igunga. Anajua kabisa kwa sasa hakubaliki mbele ya wananchi walio wengi. Huo ndio ukweli na hata mwenyewe ukimuuliza sasa hivi atakuambia hivyo.

  Wanaosema kinyume na hapo wanaendekeza siasa za kishabiki zaidi bila kufanya uchambuzi yakinifu.

  Kiukweli CCM imeshinda uchaguzi kwa kupata kura nyingi kuliko vyama vingine vilivyoshiriki uchaguzi. Lakini CCM imepoteza umaarufu wake Igunga kwa sasa. Hata viongozi wa CCM wanalijua hilo. Wameshinda uchaguzi lakini umaarufu wa CHAMA umepotea. Sasa inabidi wafikirie mara mbili nini cha kufanya kurudisha umaarufu wa chama kwenye jamii.
   
 11. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Labda Bakwata na lile baraza la mihadhara/mikutano ya kiislam lilimwakilisha. unaweza kuona matamko yao hadi miskitini na leo washakaa kimya kabisa. Pia kumbuka Mh Jk alikuwa na majukumu ya kitaifa ya kiuwakilishi USA.
   
 12. k

  kiloni JF-Expert Member

  #12
  Oct 4, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sheikh Yahya mpya! alimshauri kuwa akijaribu ataanguka tena jukwaani na kufia huko!!
   
 13. m

  mkalagale Member

  #13
  Oct 4, 2011
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  alikuwa usa akipiga piga picha na 50 cent
   
 14. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,163
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  Amini usiamini jk alikuja siku waliyotangaza matokeo, watumishi wa h/shauri tunalijua hilo, ingawa vyombo vya habari havikuripoti
   
 15. MAYOO

  MAYOO JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  du! We noumer, na huo ndo ukweli magamba wabishe tuone basi
   
 16. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Chama cha nkwere kilisimamisha mgombea?
  Mi ninajua vyama vya cdm, cuf, bakwata, updp, sau ndio waliosimamisha wagombea Igunga.
   
 17. Q

  Quick Senior Member

  #17
  Oct 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 154
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  AU Differential Equation
  Atumie La Placeee
   
 18. Robati

  Robati JF-Expert Member

  #18
  Oct 4, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  wewe unafikiri kwa kutumia masaburi. hivi haukuiona serikali ilipo hamia igunga?
   
 19. Robati

  Robati JF-Expert Member

  #19
  Oct 4, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  ndiyo nani huyo kaka? mie mgeni mwenzio
   
 20. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #20
  Oct 4, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Angefia jukwaani mtu mwenyewe afya mgogoro
   
Loading...