Ni chama gani kile ambacho kimejipatia ushindi Igunga kwa kutumia mtutu wa bunduki -- k

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Wanajamvi tukumbushane tusije tukasahau: Ni chama gani kile ambacho kimejipatia ushindi Igunga kwa kutumia mtutu wa bunduki -- kuzionyesha majukwaani na kuzifyatua?
 
Wanajamvi tukumbushane tusije tukasahau: Ni chama gani kile ambacho kimejipatia ushindi Igunga kwa kutumia mtutu wa bunduki -- kuzionyesha majukwaani na kuzifyatua?

Matumizi ya bunduki kinyume cha sheria ni ujambazi hata ikitumika kwa uwazi. Nahisi chama hicho ni Chama Cha Majamb.o.w.azi. Nimesahau kifupisho chake.
 
Poleni sana magwanda, mtakuja na kila aina ya sababu lakini ukweli upo pale pale. Siku mkijifunza kukubali kushindwa basi hapo ndio utakua mwanzo wa kukomaa ki siasa.
Naona wakuu wenu wote wamerudi mashimoni kutibu vidonda.
 
ikiwa waliojiandikisha ni laki na sabini lkn waliopiga kura hawazidi elfu hamsini basi laki nzima hawaridhishwi na mwenendo wa vyama vya siasa? Bora wananchi tuchukue nchi yetu wenyewe kama libya tutakuja amua baadae anaefaa kuwekwa ktk uongozi kwa faida za watoto wetu.
 
Poleni sana magwanda, mtakuja na kila aina ya sababu lakini ukweli upo pale pale. Siku mkijifunza kukubali kushindwa basi hapo ndio utakua mwanzo wa kukomaa ki siasa.
Naona wakuu wenu wote wamerudi mashimoni kutibu vidonda.

Kwani hakuna chaguzi zilizopita ambazo magamba nao hawakurithika nazo na mpaka wakakata rufaa?? Kutorithirika na uchaguzi ni haki ya mgombea hasa pale ambazo hakukuwa na uhuru,haki n.k kwa wapiga kura wake!
 
Ni CCM na aliyekuwa anatumiwa kuwatisha wapiga kura kwa libastola lake ni yule gaidi wa kisomali Usataadh Aden Rage
 
Back
Top Bottom