Tunasherekea miaka hamsini ya kuzaliwa kwa tanganyika na sio tanzania


M

muzachai

Member
Joined
Apr 30, 2009
Messages
41
Likes
6
Points
0
M

muzachai

Member
Joined Apr 30, 2009
41 6 0
Hapa jamani nimechanganyikiwa kabisa

uhuru wa tanganyika 9 december 1961

uhuru wa zanzibar kutoka kwa sultani 12 january 1964

muungano wa tanganyika na znz 26 april 1964 ndio iliunda tanzania

sasa hiyo miaka 50 ya uhuru wa tanzania inatoka wapi

naomba kutoa hoja

" what i do, i know"
"what i see, i remember"
 

Forum statistics

Threads 1,236,965
Members 475,327
Posts 29,274,893