Tarehe14-10-1999, nuru na nyota ya mwanzilishi wa taifa la Tanzania, kipenzi,mwanasiasa mahiri, baba wa taifa na mwanafalsafa wa Tanzania na ulimwenguilizima ghafla na kukamilisha safari yake ya...
Wazee mtanihurumia kwa kuweka hii thread hapa. Uzalendo ndio unaonisukuma kuiweka hapa !
Timu Tayari zipo uwanjani ndiyo zinakaguliwa.
Nawaombea heri Taifa Stars !
Rojadirecta.me -...
Katika hali isiyo ya Kawaida Kamanda Chadema imeombwa kuwapatia Ukombozi wa kweli Wana wa Siha baada ya Miaka 50 ya Uhuru.Hili limejiri Usharika wa Kashashi mtaa wa Naweru kwenye Harambee ya...
chadema tunaomba muongozo jinsi ya kufungua matawi ya chadema nje ya tanzania,
nimetembea nchi mbalimbali hasa za africa na kugundua watanzania wanaoishi huko wanatamani mabadiliko yatokee ili...
Ndugu wanaJF,
Nawasalimu wote,
Ingawa mm sio mtumishi wa serikali nimeona nilisemee hili kwani sijaona mwanasiasa, TUCTA walkiliongelea hili (labda walisema lakini mimi sikusikia) natimiza...
Wakuu ninaangalia kipindi Star TV kinachoonyesha maisha ya watu wa vijijini huko dodoma. Inaumiza sana maana watu wamekata tamaa na maisha maana ardhi imechoka na uzalishaji ni mdogo sana...
Baada ya kuwa mshiriki wa jukwaa hili kwa muda bila kuchangia, Wakuu nimelazimika kushiriki moja kwa moja hii ni kutokana na yanayoendelea hapa kwetu Tanzania.
Wakuu tumekuwa tukishuhudia viongozi...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kilimanjaro kimelaani vikali tukio la kuchomwa moto gari la diwani wa kata ya Uru Kaskazini (CCM) Evarist Mumburi tukio ambalo liliambatana na kujeruhiwa...
Kama hii ni Tanzania; Basi tumelaaniwa, na aliyetulaani kafa
Man is born to trouble, as the sparks fly upward. ~Job 5:7
Winers do not do different things, they do things differently
Tanzania...
Ndugu wanajamvi, Hivi unaweza kuamini kwamba kwa kipindi cha kuanzia mwaka 1995 hadi leo 2011, kiasi cha Bilioni 91 kimeokolewa kutokana na kesi mbalimbali zinazohusu rushwa?
Je unaweza kuamini...
Calvary greetings in the mighty name of Jesus Christ from The Synagogue, Church Of All Nations.
We have received inquiries from various persons in Tanzania regarding a rumour that is being...
IKIWA sasa ni takriban miezi miwili tangu serikali kutangaza uchunguzi wa hesabu za Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (UDA), Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ameshindwa...
Habari zenu Great Thinker,
Naomba kujua hasa nini maana ya hii kauli ya Mheshimiwa Sitta aliyoitoa Mbeya kuwa wao waliokuwa kwenye Mkutano, Kongamano wanatumia Akili na siyo tumbo ?? Ana maana...
Tuipende,tuichukie lakini ukweli unabaki kuwa CCM ndio chama tawala.Kwa mantiki hiyo kila Mtanzania,including sie tusiokuwa wananchama wa chama chochote kile cha siasa tunalazimika kuwa na...
Found this on Zitto's blog; and thought I would share with JF members!!
Hii ni kazi nzuri sana kwa wote waliofanikisha uanzishwaji wa jukwaa hilo; kwani ni kweli kumekua na gap kati ya viongozi...
Wana JF nimeshindwa kuelewa kwamba sherehe kubwa imekuja kufanywa Dar badala ya Igunga.
Pia CCM wana Wabunge 200 plus bado wanazunguka kuandamana juu ya wiz wa Igunga. Can anyone tell me kuna...
Wakuu, leo (7/10/2011) mchana nilipata fursa ya kuzungumza na mmoja wa marafiki zangu ambaye ana taasisi ndogo ambayo wiki chache kutoka sasa itakayosherehekea miaka mitano tangu kuanzishwa...
NEWS
Uganda's President Yoweri Museveni. In recent months, Museveni has been taking care of neglected business in the neighbourhood. Photo/PHOEBE OKALL
By Julius Barigaba, Christine Mungai and...
nimekuwa mfuatiliaji wa habari katika TV station mbalimbali hapa nchini. Kuna habari muhimu inakosa coverage katika magazeti nimeona leo metoka kwenye gazeti la NIPASHE . Ni kuhusu hili sakata la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.