TB Joshua hakutabiri kuhusu uchaguzi wa Tanzania 2010, soma hii

hebronipyana

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
265
78
Calvary greetings in the mighty name of Jesus Christ from The Synagogue, Church Of All Nations.

We have received inquiries from various persons in Tanzania regarding a rumour that is being spread throughout the country concerning Tanzania’s upcoming elections. The rumour states that a prophecy was given by Prophet T.B. Joshua concerning these elections and the parties involved.

We, The Synagogue, Church Of All Nations, hereby state that there was no prophecy given by Prophet T.B. Joshua regarding Tanzania, her government, or her people.

Please note with utmost importance: If a prophecy has been revealed by Prophet T.B. Joshua, it will first be broadcast on Emmanuel TV and subsequently posted on our websites: www.scoan.org and www.emmanuel.tv

We continue to keep the nation of Tanzania, her people and her leaders in prayer. For the only way to show someone you love them is by praying for them. We love the nation of Tanzania and believe, by God’s grace, that the best is yet to come.

Emmanuel! God is with us!

The SCOAN
Welcome to SCOAN | The Synagogue, Church Of All Nations | Home
info@scoan.org
 
Nilipoisoma nikaoana mtiririko wa maneno ni ya wenyewe SCOAN lakini maswali niliyonayo mwenzetu wamekuandikia wewe au ipo kwenye website yao?

Hili ni muhimu kuthibitisha hili unalolisema..........................La muhimu hapa ni kuwa hoja ya kuwa T.B Joshua alitabiri upinzani utashinda lakini hautatawala siyo ya kweli..... Hii yamaanisha wakishinda watatawala.
 
Kama tulivyopokea post iliyohusu unabii uliosemekana umetoka kwa mtumishi wa Mungu TB JOSHUA siku kadhaa zilizopita SI KWELI.

Hayo yamethibitishwa kupitia televisheni ya mtumishi huyo wa Mungu iitwayo Emmanuel tv baada ya kupokea emails na simu nyingi kutoka kwa watu mbalimbali.

Inavyoelekea ujumbe husika ulikuwa "umepikwa" na wenye nia fulani.
 
SOURCE OTHERWISE UPUUZi
 
weka link ya alivyokanusha wewe kijana wa JF
 
Mimi ni mtazamaji mzuri wa Emanuel TV has jumapili ambapo huwa kuna misa live pamoja na prophecy lakini sikuwahi kusikia wala kuona akisema lolote juu ya uchaguzi wa Tanzania. \hivyo tangu mwanzoni nilihisi kuna uongo ndani ya ile habari ya kuwa wapinzani watashinda lakini watanyimwa hiyo fursa ya kuongoza
 
Yalisha anza kuzungumziwa hapa mapema juu ya huyu TB Joshua nafikiri kunakitu kinaendelelea yetu macho.
 
haya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tatizo kuubwa la nchi hii ni kupenda miujuiza kupindukia. Na hiyo ni sifa kubwa ya kudanganywa. Kuishi bongo ndugu yangu unaitaji kujijengea usugu wa kutoa mini amini hovyo la sivyo utalizwa shauri yako.
 
Sympathy!
minhong1.jpg

minhong2.jpg

minhong3.jpg
 
Back
Top Bottom