Mtizamo wa Bloga: Changamoto Zinazoikabili CCM Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtizamo wa Bloga: Changamoto Zinazoikabili CCM Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kulikoni Ughaibuni, Oct 9, 2011.

 1. Kulikoni Ughaibuni

  Kulikoni Ughaibuni JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2011
  Joined: Dec 12, 2007
  Messages: 235
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60


  CHANZO: Changamoto Zinazoikabili CCM Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015 ~ Kulikoni Ughaibuni
   

  Attached Files:

 2. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu change rangi yako tuweze kusoma .Mbona una ashiria hatari tupu na maandiko mekundu kama unapunga majini kaka .Hebu badili tuweze kukusoma tafadhali .
   
 3. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Sasa hivi ccm haina changamoto ila ina matatizo, usijaribu kupunguza uhalisia kwa kuita matatizo ni changamoto, halafu hiyo rangi nyekundu inatuulia macho sisi wengine tumia hata rangi ya blue
   
 4. M

  Mat.E Member

  #4
  Oct 9, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimekusoma mkuu, ila Sisiyemu 2015 Wanalo! Watz sasa wako kwenye point ya "Potelea mbali ngoja tuwape wengine" kwani wamechoshwa na madudu ya Sisiyemu. Wamegundua kadri wanavyokichagua ndivyo maisha yao yanazidi kuwa magumu zaidi, kila siku afadhali ya jana!
   
 5. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Utamu wa Mechi ya 2015 unaonekana hata sasa, angalia mambo ya Bungeni, Igunga au hata itakapofika 2012 atakapotafutwa mwenyekiti wao.
   
Loading...