Chadema walaumiwa kupandikiza chuki na migomo kati ya wanavyuo na serikali

jozzb

Member
Jun 30, 2011
87
20CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kilimanjaro kimelaani vikali tukio la kuchomwa moto gari la diwani wa kata ya Uru Kaskazini (CCM) Evarist Mumburi tukio ambalo liliambatana na kujeruhiwa vibaya kwa diwani huyo

“Chadema si chama cha kisiasa ni janga la kitaifa ni chama kinachopandikiza mbegu za chuki kwa wananchi ili waichukie serikali yao, wanapandikiza chuki vyuoni ili wanavyuo wagome,wafanye maandamano ili waichukie serikali yao”,alisema kazidi.

WANAVYUO MPOOOO??? JE NI KWELI JAMANI?

HABARI HII NIMEIFUPISHA KWA KUCHUA POINT MUHIMU

UKIITAKA IPO HAPA << CHADEMA WALAUMIWA>>


WANAVYUO MPOOOO??? JE NI KWELI JAMANI?


 

Sabry001

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,064
353
Kila ki2 chadema! Wao wanashindwa kufanya yawapasayo wanadhani wanafunzi wa cku hz ni km wale wa zamani ambao walikuwa domesticated? Wasipo2pa haki na stahli ze2, wasiporekebisha mambo, ipo siku hata wafagia njia wataandamana! Wakiache CHADEMA jamani!
 
Dec 11, 2010
3,321
6,323
Diwani mwenyewe anajua hiyo gari kaipataje, vitu vya dhulma havidumu. Chadema hapo inalaumiwa kwa lipi wakati wanakijiji waliodhulumiwa gari yao ya mradi wa kikundi ndio wamechukua maamuzi?!
 

king'amuzi

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
615
225
huyu diwani kawazulumu gari ya msaada wananchi wake(pickup Hardbody) sasa wamechukua hatua wanahusisha chadema.Ufisadi umeanzia huku
 

Wikiliki

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
528
139
Gari ambalo limechomwa ni la kituo cha afya kata ya uru kaskazini ambalo huyo diwani amejimilikisha kwa muda mrefu na wananchi walikuwa na hasira nalo kwa sababu halikuwa likitumika kwa malengao yake bali kubebea majani ya huyo diwani.
 

Mwanaukweli

JF-Expert Member
May 18, 2007
4,786
1,701CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kilimanjaro kimelaani vikali tukio la kuchomwa moto gari la diwani wa kata ya Uru Kaskazini (CCM) Evarist Mumburi tukio ambalo liliambatana na kujeruhiwa vibaya kwa diwani huyo

"Chadema si chama cha kisiasa ni janga la kitaifa ni chama kinachopandikiza mbegu za chuki kwa wananchi ili waichukie serikali yao, wanapandikiza chuki vyuoni ili wanavyuo wagome,wafanye maandamano ili waichukie serikali yao",alisema kazidi.

WANAVYUO MPOOOO??? JE NI KWELI JAMANI?

HABARI HII NIMEIFUPISHA KWA KUCHUA POINT MUHIMU

UKIITAKA IPO HAPA << CHADEMA WALAUMIWA>>


WANAVYUO MPOOOO??? JE NI KWELI JAMANI?Diwani mwenyewe anajua hiyo gari kaipataje, vitu vya dhulma havidumu. Chadema hapo inalaumiwa kwa lipi wakati wanakijiji waliodhulumiwa gari yao ya mradi wa kikundi ndio wamechukua maamuzi?!

huyu diwani kawazulumu gari ya msaada wananchi wake(pickup Hardbody) sasa wamechukua hatua wanahusisha chadema.Ufisadi umeanzia huku

Gari ambalo limechomwa ni la kituo cha afya kata ya uru kaskazini ambalo huyo diwani amejimilikisha kwa muda mrefu na wananchi walikuwa na hasira nalo kwa sababu halikuwa likitumika kwa malengao yake bali kubebea majani ya huyo diwani.

Magamba wanajaribu kuifanya Chadema ichukiwe lakini badala yake wanaleta habari ambazo zinaumbua Magamba zaidi na zaidi
 

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
46,981
63,947
CCM waache kuhamishia matatizo yao kwa wengine, wenyewe hawapendani na wameamua kumalizana kisiasa na kwa kutoana uhai kwa kivuli na kisingizio cha CDM, hivi kuna mwananchi gani wa kawaida na asiye na maslahi tena mazuri na CCM leo hii utamwambia upupu huu wa CCM akuelewe? Mwita25 kakiri leo kuwa alikua anatumowa na CCM tutakataaje na hao wengine kuwa si watumishi wa CCM dhidi ya CDM? Let them go to HELL
 

lucik321

New Member
Oct 10, 2011
4
0
Support about
minhong1.jpg

minhong2.jpg

minhong3.jpg

 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom