Hayati jk alivipiga vita leo vinapigiwa makofi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hayati jk alivipiga vita leo vinapigiwa makofi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Najijua, Oct 10, 2011.

 1. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tarehe14-10-1999, nuru na nyota ya mwanzilishi wa taifa la Tanzania, kipenzi,mwanasiasa mahiri, baba wa taifa na mwanafalsafa wa Tanzania na ulimwenguilizima ghafla na kukamilisha safari yake ya miaka 77 hapa duniani. Tanzania nabaadhi ya pande za dunia wanamkumbuka kila ikifika tarehe 14-10 ya kila mwakaili kutafakari na kuyaenzi yale yote mema aliyo ya asisi na kuyasimamia.Nikiungana na watanzania na ulimwengu kutafakari mambo mengi ya msingi aliyo aanzishana kuyasimamia Mwl J.K Nyerere katika hayo nadiriki kusema HAYATI JK ALIVIPIGA VITA LEO VINAPIGIWA MAKOFI.HayatiNyerere alipigana kufa na kupona mpaka umauti unamkuta na umaskini, ujinga,maradhi, ukabila, udini , ujimbo na hata umimi. Hivi ni baadhi ya vitu alivyopigananavyo mpaka umauti unamkuta lakini leo vinaendelezwa na wale ambao hayati JKaliwaamini na ndio maana nadiriki kusema vinapigiwa makofi.

  Ukabila sasaTanzania unakuwa kwa kasi na viongozi hawachukui hatua madhubuti na wenginewanashiriki kuendeleza. Zamani watanzania tulikuwa hatuna utamaduni wa kuulizanaau kutaka kufahamu mtu ni wa kabila gani au anatokea wapi? Leo ni kawaida sanaunapokutana na watu au kutambulishwa sehemu mbele za watu kuulizwa we ni kabilagani?au unatokea wapi/mwenyeji wa wapi?au kama ni wa kabila lile la mtambulishajihudiriki kusema huyu ni wa kwetu hivyo ni mwenzetu,ndugu yetu. Kwenye vyuo vikuu na vyuo vya elimu ya juu kunako aminika kuna wasomi vioo vya jamii wenye uwezo wa hali ya juu wakuchambua mambo, wanaojua athari za ukabila huko kuna jumuiya na taasisi zakikanda, kimkoa, wilaya na hata jimbo wasomihawa nao wanadiriki kupigia makofi ukabila na upande mwingine wanasimama kusemawanataka kusimamia yale aliyoyaanzisha Nyerere huku si kupigia makofi aliyopigavita hayati JK? Nako mitaani tunako ishi ni kawaida sana siku hizi kuonajumuiya kama hizi zilizopo katika vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu etilengo likiwa ni kusaidiana katika sherehe na misiba, kufahamiana na kuwezakupanga mikakati ya kusaidia maendeleo ya kwao asilia, mbaya zaidi viongozi wakitaifa ndio wanakuwa walezi wa jumuiya hizi na vyama hivi ambavyo ukivitazamakwa kina ni kuendeleza ukablia, ukanda na hata udini, kama kiongozi wa kitafia anakuwa mlezi wa jumuiya yakikanda au kikabila huku si kupigiamakofi aliyoyapiga vita hayati JK?
  Sikuhizi kuna asasi au mashirika mabayo yamesajiliwa na utangulizi wake unatamkawazi malengo yake ni kusaidia watu wakabila fulani na au sehemu fulani ya nchi na bado msajili wa vya vya kiraiaanavisajili huku si kupigia makofi?kwani misaada haiwezi kutolewa mpaka uwe kwawatu wa kabila husika la watoaji msaada?hivi hatuwezi kizikana, kusaidiana nakufahamiana mpaka tutumie ukabila na ukanda wetu?uko wapi utanzania wetu?nanikaangusha ile nguzo na ufahari wa utanzania wetu?

  Dhambiya ukabila inaitafuna Tanzania sasa mpaka kwenye vyama vya siasa, tumeshasikiachama fulani uteuzi wa wabunge wa viti maalumu ulikuwa wa upenedeleo zaidi kwawatu wa kabila la mwenyekiti wake, kuna chama kingine kilivuma eti ni cha watuwa imani fulani ya dini. Hivi karibuni katika uchaguzi mdogo wa jimbo moja kunachama kilimpleleka kiongozi mmoja wa kitaifa eti kwa kuwa ni bingwa wakuzungumza lugha ya kabila la wanacnhi husika na ilishangiliwa na kuripotiwa namagazeti kwa mbwembwe zote huku si ndio kupigia makofi?Mbaya zaidi ukabilaunagusa mpaka idara nyeti za serikali zinazogusa maslahi ya taifa, kuna taasisimoja kubwa nchini ilidaiwa kuwa nawatumishi wa kabila fulani wakati huo waziriwa idara hiyo akiwa ni wa kabila hilo, hivi karibuni tumesikika eti kuna wizara moja kiongozi mmoja wa utumishi wa umma anashinikiza viongozi wa juu wa wizarahiyo lazima wawe wa kabila lake. Sasa kama vyama vya siasa vinavyotarajiwakukabidhiwa dhamana ya taifa hili wanahusudu ukabila na udini taifa hililitabaki salama? Waziri mwenye dhamana ya taifa anaendeleza au anashindwakukemea ukabila katika taasisis yeneyemaslahi ya kitaifa si ndio kupigia makofi huko?kama kiongozi wa utumishi wa umma analazimisha viongozi wa wizara nyetiwawe wa kabila lake na viongozi wakuu wa taifa hawachukia hatua huku si kupigia makofi?

  Sioukabila na udini tu bali hata umimi na usisi unalitafuna taifa letu laTanzania, siku hizi tenda kubwa zote za serikalini viongozi wana zinachukuwawao kupitia kampuni zao au za washirika wao tena kwa gharama mara mbili auzaidi ya gharama husika na kuongeza ombwe la kipato baina ya mwananchi mmojammoja, matajiri na maskini na ni kawaida sana kuona mtu kabla hajawa kiongozialikuwa maskini au wa kipato cha wastani ila baada ya miaka kadhaa katika uongozianakuwa tajiri wa kupindukia, mbona miaka 21 ya hayati JK madarakani na badoalikufa maskini?leo miaka 10 ya viongozi wa leo wanageuka mabilionea kama sikupigia makofi umimi na usisi alipiga vita hayati JK ni nini huu? Ukiendakwenye ajira wahitimu wengi wa vyuo vikuu wanahangaika kupata ajira lakini kunawengine wanapata kirahisi au kilaini kwa kuwa wana wafahamu viongozi wa idarahusika au wana jamaa na ndugu wenye ushawishi mkubwa kwa viongozi husika. Sikuhizi ajira zimekuwa si kwa vigezo vya sifa, uwezo wa kitaaluma na uzoefu baliinategemeana unamfahamu nani?nani kakupeleka pale?huku si kupigia makofi?huu sindio ubinafsi, umimi na usisi?Sikuhizi ukimaliza muda wako wa utumishi uliotukuka na hauna mali jamii iankuchekana kukushangaa imekuaje umekuwa maskini, siku hizi utumishi ulitukuka haukotena umimi na ubinafsi unaolazimishwa na jamii umejaa katika mioyo yetu, kilamtu anafanya kazi ili apate mali yake , apate vyake ili ukifika wakati wakupumzika jamii isimcheke. Tunapinga ufisadi kwa nguvu zote ila mafisadiilafedha zao na michango yao ya fedha zao chafu tunazitaka, ndio fedhazinazotumika kupata viongozi na kujenga nyumba za ibada au ndio ule usemi waKiswahili baniani mbaya kiatu chake dawa?ila huku si ndio kupigia makofiNadirikikutamka Hayati JK alivipiga vita, leo vinapigiwa makofi tena walio wengi wanaoendekeza,wanaofanya au waliofanya yale aliyoyapiga vita hayati JK ni wale ambaoaliwaamini, waliomsadia katika mapambano lakini leo wamemsaliti na kugeukiakule alikokupiga vita. Ila bila haya wala soni wakipanda majukwaani wanajifanyabado wanaamini na kusimamia aliyoyaanzisha, leo angerudi na kuwaona sijuiangefanya nini kuwaona wale wanaodai kumeenzi kwa kufanya matamasha namakongamano makubwa yenye kuchukua fedha nyingi ya kumuenzi lakini ukweli wamambo katika maisha wanafanya au wanashiriki kwa njia moja au nyinginekuendeleza aliyoyapiga vita mpaka umauti unamkuta
   
 2. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Andika kwa aya.
   
 3. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,412
  Likes Received: 1,971
  Trophy Points: 280
  macho yamekataa
   
 4. Matango

  Matango JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Unakosa wasomaji kwa mtindo huu wa mpangilio wa hadithi !!!
   
 5. K

  Kamura JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii ni thesis?
   
 6. danielwc

  danielwc Member

  #6
  Oct 10, 2011
  Joined: Mar 9, 2007
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mtiririko haujatulia
   
 7. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2011
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,298
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Msamehe bure, ana hasira kali
   
 8. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  [h=2][FONT=&quot]Wadau: Nimejaribu kumsaidia kwa kuiweka mada yake kwa mpangilio wa aya. Ni maoni mazuri sana yanayoelezea tule tulikotoka na kule tuendako -- ambako ni giza nene.


  Hayati jk alivipiga vita leo vinapigiwa makofi [/FONT]
  [/h] [FONT=&quot]Tarehe14-10-1999, nuru na nyota ya mwanzilishi wa taifa la Tanzania, kipenzi,mwanasiasa mahiri, baba wa taifa na mwanafalsafa wa Tanzania na ulimwenguilizima ghafla na kukamilisha safari yake ya miaka 77 hapa duniani. Tanzania nabaadhi ya pande za dunia wanamkumbuka kila ikifika tarehe 14-10 ya kila mwakaili kutafakari na kuyaenzi yale yote mema aliyo ya asisi na kuyasimamia.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Nikiungana na watanzania na ulimwengu kutafakari mambo mengi ya msingi aliyo aanzishana kuyasimamia Mwl J.K Nyerere katika hayo nadiriki kusema HAYATI JK ALIVIPIGA VITA LEO VINAPIGIWA MAKOFI.HayatiNyerere alipigana kufa na kupona mpaka umauti unamkuta na umaskini, ujinga, maradhi, ukabila, udini , ujimbo na hata umimi. [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Hivi ni baadhi ya vitu alivyopigananavyo mpaka umauti unamkuta lakini leo vinaendelezwa na wale ambao hayati JKaliwaamini na ndio maana nadiriki kusema vinapigiwa makofi. [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Ukabila sasaTanzania unakuwa kwa kasi na viongozi hawachukui hatua madhubuti na wenginewanashiriki kuendeleza. Zamani watanzania tulikuwa hatuna utamaduni wa kuulizanaau kutaka kufahamu mtu ni wa kabila gani au anatokea wapi? [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Leo ni kawaida sanaunapokutana na watu au kutambulishwa sehemu mbele za watu kuulizwa we ni kabilagani au unatokea wapi/mwenyeji wa wapi?au kama ni wa kabila lile la mtambulishajihudiriki kusema huyu ni wa kwetu hivyo ni mwenzetu,ndugu yetu. Kwenye vyuo vikuu na vyuo vya elimu ya juukunako aminika kuna wasomi vioo vya jamii wenye uwezo wa hali ya juu wakuchambua mambo, wanaojua athari za ukabila huko kuna jumuiya na taasisi zakikanda, kimkoa, wilaya na hata jimbo wasomihawa nao wanadiriki kupigia makofi ukabila na upande mwingine wanasimama kusemawanataka kusimamia yale aliyoyaanzisha Nyerere huku si kupigia makofi aliyopigavita hayati JKN? [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Nako mitaani tunako ishi ni kawaida sana siku hizi kuonajumuiya kama hizi zilizopo katika vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu etilengo likiwa ni kusaidiana katika sherehe na misiba, kufahamiana na kuwezakupanga mikakati ya kusaidia maendeleo ya kwao asilia, mbaya zaidi viongozi wakitaifa ndio wanakuwa walezi wa jumuiya hizi na vyama hivi ambavyo ukivitazamakwa kina ni kuendeleza ukablia, ukanda na hata udini, kama kiongozi wa kitafia anakuwa mlezi wa jumuiya yakikanda au kikabila huku si kupigiamakofi aliyoyapiga vita hayati JK?[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Sikuhizi kuna asasi au mashirika mabayo yamesajiliwa na utangulizi wake unatamkawazi malengo yake ni kusaidia watu wakabila fulani na au sehemu fulani ya nchi na bado msajili wa vya vya kiraiaanavisajili huku si kupigia makofi?kwani misaada haiwezi kutolewa mpaka uwe kwawatu wa kabila husika la watoaji msaada?hivi hatuwezi kizikana, kusaidiana nakufahamiana mpaka tutumie ukabila na ukanda wetu uko wapi utanzania wetu nanikaangusha ile nguzo na ufahari wa utanzania wetu?[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Dhambiya ukabila inaitafuna Tanzania sasa mpaka kwenye vyama vya siasa, tumeshasikiachama fulani uteuzi wa wabunge wa viti maalumu ulikuwa wa upenedeleo zaidi kwawatu wa kabila la mwenyekiti wake, kuna chama kingine kilivuma eti ni cha watuwa imani fulani ya dini. Hivi karibuni katika uchaguzi mdogo wa jimbo moja kunachama kilimpleleka kiongozi mmoja wa kitaifa eti kwa kuwa ni bingwa wakuzungumza lugha ya kabila la wanacnhi husika na ilishangiliwa na kuripotiwa namagazeti kwa mbwembwe zote huku si ndio kupigia makofi?[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Mbaya zaidi ukabilaunagusa mpaka idara nyeti za serikali zinazogusa maslahi ya taifa, kuna taasisimoja kubwa nchini ilidaiwa kuwa nawatumishi wa kabila fulani wakati huo waziriwa idara hiyo akiwa ni wa kabila hilo, hivi karibuni tumesikika eti kuna wizaramoja kiongozi mmoja wa utumishi wa umma anashinikiza viongozi wa juu wa wizarahiyo lazima wawe wa kabila lake. Sasa kama vyama vya siasa vinavyotarajiwakukabidhiwa dhamana ya taifa hili wanahusudu ukabila na udini taifa hililitabaki salama? [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Waziri mwenye dhamana ya taifa anaendeleza au anashindwakukemea ukabila katika taasisis yeneyemaslahi ya kitaifa si ndio kupigia makofihuko?kama kiongozi wa utumishi wa umma analazimisha viongozi wa wizara nyetiwawe wa kabila lake na viongozi wakuu wa taifa hawachukia hatua huku si kupigia makofi?[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Sioukabila na udini tu bali hata umimi na usisi unalitafuna taifa letu laTanzania, siku hizi tenda kubwa zote za serikalini viongozi wana zinachukuwawao kupitia kampuni zao au za washirika wao tena kwa gharama mara mbili auzaidi ya gharama husika na kuongeza ombwe la kipato baina ya mwananchi mmojammoja, matajiri na maskini na ni kawaida sana kuona mtu kabla hajawa kiongozialikuwa maskini au wa kipato cha wastani ila baada ya miaka kadhaa katika uongozianakuwa tajiri wa kupindukia, mbona miaka 21 ya hayati JK madarakani na badoalikufa maskini?[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Leo miaka 10 ya viongozi wa leo wanageuka mabilionea kama sikupigia makofi umimi na usisi alipiga vita hayati JK ni nini huu? Ukiendakwenye ajira wahitimu wengi wa vyuo vikuu wanahangaika kupata ajira lakini kunawengine wanapata kirahisi au kilaini kwa kuwa wana wafahamu viongozi wa idarahusika au wana jamaa na ndugu wenye ushawishi mkubwa kwa viongozi husika. Sikuhizi ajira zimekuwa si kwa vigezo vya sifa, uwezo wa kitaaluma na uzoefu baliinategemeana unamfahamu naninani kakupeleka palehuku si kupigia makofihuu sindio ubinafsi, umimi na usisi.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Sikuhizi ukimaliza muda wako wa utumishi uliotukuka na hauna mali jamii iankuchekana kukushangaa imekuaje umekuwa maskini, siku hizi utumishi ulitukuka haukotena umimi na ubinafsi unaolazimishwa na jamii umejaa katika mioyo yetu, kilamtu anafanya kazi ili apate mali yake , apate vyake ili ukifika wakati wakupumzika jamii isimcheke. [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Tunapinga ufisadi kwa nguvu zote ila mafisadiilafedha zao na michango yao ya fedha zao chafu tunazitaka, ndio fedhazinazotumika kupata viongozi na kujenga nyumba za ibada au ndio ule usemi waKiswahili baniani mbaya kiatu chake dawa ila huku si ndio kupigia makofi.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Nadiriki kutamka Hayati JK alivipiga vita, leo vinapigiwa makofi tena walio wengi wanaoendekeza,wanaofanya au waliofanya yale aliyoyapiga vita hayati JK ni wale ambaoaliwaamini, waliomsadia katika mapambano lakini leo wamemsaliti na kugeukiakule alikokupiga vita. [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Ila bila haya wala soni wakipanda majukwaani wanajifanyabado wanaamini na kusimamia aliyoyaanzisha, leo angerudi na kuwaona sijuiangefanya nini kuwaona wale wanaodai kumeenzi kwa kufanya matamasha namakongamano makubwa yenye kuchukua fedha nyingi ya kumuenzi lakini ukweli wamambo katika maisha wanafanya au wanashiriki kwa njia moja au nyinginekuendeleza aliyoyapiga vita mpaka umauti unamkuta. [/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
   
 9. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Ina maoni mazuri,sema jamaa alikuwa na hasira kali sana.
   
 10. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #10
  Oct 10, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280

  bora huyo jamaa kakosea kupangilia tu kwa hasira, nahisi mimi ndo ingekuwa worse zaidi maana huenda ningekosea hata spelling, nina hasira na hii serikali sio kidogo.
   
Loading...