Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jamani kuna mwenye taarifa ya zawadi ya Mo Ibrahim. Former Cape Verde President Pedro Verona Pires has been awarded this year's $5m Mo Ibrahim prize for good governance in Africa.The prize...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wana jamvi,tumsifu Yesu Kristo..Yangu mafupi.Nasema sasa hivi sitaki na nawashangaa wenye tabia ya kusema ''Cdm itakufanyia nini''? mnishauri wakitwambia hivyo tuwajibuje!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nawapa pongezi Watanzania popote pale walipo ambao bila kujali itikadi, dini, jinsia wala rangi, kwa kuamka na kutoka usingizini, usingizi mzito wa miaka karibu hamsini, na taratibu wanaanza...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakati wa uchaguzi wa mwaka 2005, Jakaya kikwete alikuja na hatimaye kushinda kwa gear ya kuwakwamua vijana kutoka kwenye mkwamo wa kiuchumi unaowakabili, akaenda mbele akadai atatengeneza ajira...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Angalia Mlimani TV muda huu......Yuko LIVE anahojiwa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kumtambua adui yako ni 50% ya kumshinda, kutambua mbinu ya adui yako ni 75% ya kushinda na ilobaki ni juhudi ili ufanikishe ushindi wako. CDM isikae ikajidanganya na Peoples Power bila kuwa na...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Wanajamvi, nimeipata makala hii iliyotoka katika Gazeti la The African la Jumamosi iliyopita. makala ambayo inahoji uadilifu na hali ya kutopenda anasa uko wapi siku hizi ndani ya viongozi wetu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Kwanza nianze kwa kuipongeza cdm kwa ushindi mkubwa na munono walioupata Igunga hivi karibuni baada ya kampeni za mwezi mzima. Nauita ushindi kwa sababu kwa upande wa Igunga ni kama...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Diwani wa kata ya sinza C CHADEMA mr Simple anaidhoofisha CHADEMA kwa usharobaro wake na si ajabu tukaitema hii kata uchaguzi ujao. Uchaguzi uliopita hata lingesimamishwa jiwe na mgombea wa...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Sapa-AFP | 08 October, 2011 13:05 Michael Sata Zambia's new president, Michael Sata, said Saturday he would not travel to Malawi for a regional summit because his counterpart had failed to...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni haki ya msingi ya kikatiba kwa wananchi wa Igunga kupata.mwakilishi wao bungeni ila kwa mwenendo wa kampeni za.vyama vinavyoshiriki uchaguzi sio siri garama ni kubwa mno kuliko uwezo wa uchumi...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
CCM wameshinda kura za wapiga kura wa Igunga ila CHADEMA nao wameshinda Imani ya wapiga kura wa Igunga. Lakini vyama vyote viwili fedha waliyoitumia kwenye uchaguzi huo ni kubwa mno kiasi kwamba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukifatilia historia ya nchi hii Tanzania mkoa wa Kagera ni mmojawapo wa mkoa iliyotoa mchango mkubwa katika maendeleo ya Tanzania kuanzia Elimu,Siasa,Uchumi,Utamaduni na Wasomi wenye weredi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
No matter what they say or think on YOU, but care on those ways that satisfy YOUR mind and those of voiceless who are always interested on you. Weapons are not bad, they are only bad and...
0 Reactions
1 Replies
877 Views
Kila siku kukicha utasikia CCM kaiba kura zetu, kanunua shahada, kachakachua matokeo, tunaenda court! Ni sawa hayo yoote ni sawa wala hapana shaka. Wazo langu ni kwamba, CDM ijitahidi kuwa na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
wajumbe, tumpime raisi wetu kiasi gani anakubalika kwa kumpa asilimia za ufanisi wake tangu aingie madarakani 2005 kulingana na mtazamo binafsi wa kila mjumbe, hii naona itamsaidia kuboresha zaidi...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Niliposikia prof Mwandosya amepata leukemia ghafla sikujiuliza sana nikawa namuombea apone haraka..sasa nasikia Dkt Mwakyembe nae ana kila dalili za kua posoined.Hii kama mwananchi ninaetakia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimeshangaa kusikia, Makamo mwenyekiti UVCCM bara Beno Malisa na Yule wa Zanzibar Jamal Ally, kufika Arusha na kutaka kufanya kazi za umoja huo bila uongozi wa huko kufahamu na kupewa taarifa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Hakuna atakayebisha kwamba upepo wa kisiasa Tanzania umebadilika kabisa, harufu ya mageuzi imetanda, CCM imepotenza nguzo muhimu karibia zote na imebakiza hii ya KINA MAMA. Siku ambayo...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom