Hili la Watumishi wa serikali kukatwa Mishahara limekaaje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili la Watumishi wa serikali kukatwa Mishahara limekaaje

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiresua, Oct 9, 2011.

 1. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Ndugu wanaJF,

  Nawasalimu wote,

  Ingawa mm sio mtumishi wa serikali nimeona nilisemee hili kwani sijaona mwanasiasa, TUCTA walkiliongelea hili (labda walisema lakini mimi sikusikia) natimiza wajibu wangu kama raia wa Jamhuri kupata maelezo. Ni kwa kipindi sasa michango ya mbio za mwenge ilisimama kichangishwa kwa wananchi kupitia kwa mabalozi, waalimu -mashuleni nk. lakini ninacho shangaa ni kwa Serikali bila ridhaa ya watumishi kuamua kukata garama hizo kutoka kwenye ujira wao. hii inaudhi sana na kushangaza (labda TUCTA waliitwa wakakubaliana na hili). lakini jee ni halali???

  Nchi hii imekuwa ikiendeshwa hovyo hovyo tu bila kujali utawala wa sheria, haiwezekanai kuamua -maamuzi ya watu wachache yafanyike kujustify kukubaliana kwa majority (ninacho jua inapofikia wakati wa kuwa na nia ya kutempa na ujira ya watu) nilitegemea kuwe na circular resolutions -watumishi wote waridhie kwa hiyari yao na sio utaratibu huu ni utawala wa kidicteta na HII HAIKUBALIKI.

  after all Koroboi hii inaumuhimu gani (jamani CCM) tusiwe tunaenzi mambo yasiokuwa na tija kwa taifa hili (eti inazindua miradi) eee kwani mkimpa RC na MaDC wake kazi hii wakazindua miradi hii haitazinduka????. Mwenge ulikuwa unamulika ndani na nje ya mipaka yetu hahahahah LOL wakati huo watu wakiwa hana uelewa wa kutosha sasa tunelewa Mwenge unaacha mafisadi ndani, unapishana na Majambazi barabarani unamulikia watu wazini Huuuuuuuwi Yewooomii!!! washindwe kabisa. Yaani watumishi wa Uma mnakubaliana na hili... haiwezekani lazima tuliseme hili.

  Natamani Wanaharakati kana Tamwa NGO kam Synovet, REDET au NGO nyingine wafanye utafiti kufuatilia manufaa ya Mwenge (aka koroboi) tupate scientific justification ya hili jambo kuwa halina manufaa kwa taifa. LAKINI WATUMISHI KUBEAR COSTS ZA HII KITU over and above your strugling shoulders sikubali.

  naomba kuwasilisha

  xp
   
 2. W

  Welu JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 815
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Imethibitishwa mwenge wenyewe hauna maana ndio maana mwaka huu umechakachuliwa.
   
 3. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  mwezi huu unaanza, na utazunguka kimkoa tofauti na zamani kasoro wilaya za Dar

  watumishi nasikia hukatwa elfu 5
   
 4. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hapa ndipo unashindwa kuwashangaa watanzania. Watu wanakatwa mishahara yao kwa ajili ya kugharimia mambo ya kipuuzi lakini wameridhika.

  Kwa hali kama hii ndo maana tumeshuhudia maajabu ya watumishi wa umma wanasukuma gari la jairo, wanamuimbia mapambio na kumtunza mashada na maua mbalimbali.

  Na hawa ndio wasomi ambao angalau wangesaidia kuikomboa jamii kubwa ya watanzania ambayo iko gizani lakini nao wameamua kufumba macho.
   
 5. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  The job is present, safari ya kuwakomboa watanzania imejaa changamoto nyingi. Kama wasomi tunaowategemea wanaingia kwenye mtego, kwa kuhofia kutengwa? Huu ni upuuzi. Fikiria watumishi wote wa serikali wakatwe sh 10,000, na mjue hi haikuanza jana, imekuwa hvi kwa kipind sasa. Amka, tafakari, chukua hatua!
   
 6. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mmekatwa shilingi ngapi?
   
 7. Fasta fasta

  Fasta fasta JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 620
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Hukuona hata funguo zimewekwa mfukoni jiulize ni ofisi ya umma. Walimsukuma na kumuimbia wasifungiwe nje wakaenda kulima bila malipo.
   
 8. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Eti nyie watumishi mnakatwa bei gani? nasikia ni kuanzia sh 10,000! du, nina rafiki yangu yuko DC amanithibitishia hili
   
 9. Silly

  Silly JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 508
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  nimeona pia miradi ya watu binafsi kama vile bar and restaurants na hoteli zikiwekwa mijiwe ya msingi au kufunguliwa na viongozi wa hizi mbio, ndio kusema haipo miradi yenye maana kidogo wangeweza kuangalia
   
Loading...