Corruption Almanac

regam

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
269
49
Ndugu wanajamvi, Hivi unaweza kuamini kwamba kwa kipindi cha kuanzia mwaka 1995 hadi leo 2011, kiasi cha Bilioni 91 kimeokolewa kutokana na kesi mbalimbali zinazohusu rushwa?
Je unaweza kuamini kwamba kati ya tuhuma 49,456 za rushwa zilizoripotiwa ni tuhuma 459 tuu ndio zilitolewa hukumu? Na je unafahamu kuwa kati ya kesi 49,456, ni kesi 16,456 tuu ndio zilifanyiwa uchunguzi?
kaaz kwelikweli.
Nimeattach file katika uzi huu ili uweze kupata taarifa mbalimbali za rushwa.
Nawasilisha

View attachment Corruption Almanac.pdf
 

Daniel Anderson

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
872
140
Sijaisoma almanac hii lakini ni sahihi. Tumeok6a 91 bil. Lakini naiman tumepoteza centrilions kama siyo zillions.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom