Siha Waomba Ukombozi CHADEMA

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
831
184
Katika hali isiyo ya Kawaida Kamanda Chadema imeombwa kuwapatia Ukombozi wa kweli Wana wa Siha baada ya Miaka 50 ya Uhuru.Hili limejiri Usharika wa Kashashi mtaa wa Naweru kwenye Harambee ya kupaua kanisa baada ya Kamanda Kombe kushiriki akiwa amevalia vazi la Chama Combat Nyeusi.Tawi jipya limefungulia Naweru jirani na Kanisa na Kazi ya Ukombozi imeanza rasmi
 
Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
67
Kama kawa kanisa lazima litusaidie wanachadema,ushindi upo karibu.yesu anailinda na kuiongoza chadema mpaka kieleweke.
 
Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,502
2,034
Kwa mujibu wa taarifa za maendeleo jimboni Siha... Mh.Aggrey Mwanri amejitahidi sana kuleta maendeleo jimboni mwake...
 
Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,869
9,820
Haya ndio matatizo ya viroba!? Ulevi mtupu!

Mkuu si ilikuwa katika kuchangisha fedha za kupaua kanisa, sasa ukombozi hapa unakujaje? Nikadhani wanataka wakombolewe katika kujenga makanisa!
 
Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,869
9,820
Katika hali isiyo ya Kawaida Kamanda Chadema imeombwa kuwapatia Ukombozi wa kweli Wana wa Siha baada ya Miaka 50 ya Uhuru.Hili limejiri Usharika wa Kashashi mtaa wa Naweru kwenye Harambee ya kupaua kanisa baada ya Kamanda Kombe kushiriki akiwa amevalia vazi la Chama Combat Nyeusi.Tawi jipya limefungulia Naweru jirani na Kanisa na Kazi ya Ukombozi imeanza rasmi

Nadhani huu ni ukombozi wa kiroho manake makanisani huwa tunakomboa na kuongoa watu kiroho!
 
Giddy Mangi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
831
184
Mkuu si ilikuwa katika kuchangisha fedha za kupaua kanisa, sasa ukombozi hapa unakujaje? Nikadhani wanataka wakombolewe katika kujenga makanisa!

Wat happen Kombe kuwa katika Vazi la Ukombozi ndio chanzo cha kusema kwanini Chadema hawaji Siha kwa nguvu kubwa na ndio likatoka Ombi Chadema kiimarishwe na wao Wapo Tayari kukata Shauri na Kuacha dhambi na kujiunga na Chadema.
 
chama

JF-Expert Member
Aug 6, 2010
8,001
2,414
Katika hali isiyo ya Kawaida Kamanda Chadema imeombwa kuwapatia Ukombozi wa kweli Wana wa Siha baada ya Miaka 50 ya Uhuru.Hili limejiri Usharika wa Kashashi mtaa wa Naweru kwenye Harambee ya kupaua kanisa baada ya Kamanda Kombe kushiriki akiwa amevalia vazi la Chama Combat Nyeusi.Tawi jipya limefungulia Naweru jirani na Kanisa na Kazi ya Ukombozi imeanza rasmi

Mbona umeongea kama mtu mwenye mapungufu kiakili? Chadema inamkomboa nani? Uhuru tulishaupata tuelezeni sera zenu mtafanya nini?
Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Giddy Mangi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
831
184
Mbona umeongea kama mtu mwenye mapungufu kiakili? Chadema inamkomboa nani? Uhuru tulishaupata tuelezeni sera zenu mtafanya nini?
Chama
Gongo la Mboto DSM

Nashukuru kwa ulivyonielewa Ubarikiwe sana.PEOPLES POWER.
 
Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,882
Kwa mujibu wa taarifa za maendeleo jimboni Siha... Mh.Aggrey Mwanri amejitahidi sana kuleta maendeleo jimboni mwake...

Mkuu saidia jamvi kutaja maendeleo ya Siha yaliyo letwa na Mwanri kwa mujibu wa taarifa zako ili tukate mzizi wa fitina tafadhali mno .Haya uwanja ni wako jimwage
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Top Bottom