Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Timu ya CCM iliyotumwa Mwanza Nape, Lusinde wamechemsha na wameishia kutukana. Lusinde kasema atatupiga mimba, Nape kasema atatupandisha ukuta. Kweli hawa ndio viongozi wa kitaifa?. Cha...
4 Reactions
172 Replies
17K Views
Habari za mihangaiko wanaJF Katika mchakato wa kuandaa katiba mpya kuna haja ya kuangalia mambo mengi lakini tukifanya vizuri kwenye mambo ya msingi, yaweza kutoa mafanikio yaliyokusudiwa ambayo...
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Nimepata habari kutoka Arusha kwamba yale maandamano ya jana ya vijana wa UVCCM wafuasi wa Millya yalikuwa hayana kibali cha polisi. Inafaa CDM walivalie njuga suala hili, kwani ingekuwa ni waio...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wandugu nimeipenda hii habari kutoka kwa mchambuzi nguli wa mambo ya kijamii Baraka Muluka kutoka huko Kenya kama alivyoaandika katika gazeti la The Standard wakati wa maadhimisho ya kifo cha Mwl...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Mon, Oct 17th, 2011 Mon, Oct 17th, 2011| Tanzania Chama Cha Mapinduzi (CCM) youth leader James Ole Millya surrendered after he eluded the police for nearly a week. There was a brief...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeshtuka sana kuona hii picha,.. sijui kama ndo kukusanya hela za kuendeshea chama au vipi. Lakini ofisi ya chama kugeuzwa kuwa sehemu ya biashara? sielewi ati
0 Reactions
72 Replies
6K Views
JF habarini. Ninatoa thread hii kwa uchungu mkubwa, kwani linanigusa mimi mwenyewe kwa namna ya kipekee. Serikali ya Tanzania inayoundwa na CCM, miaka 50 sasa, bado haina huruma kwa wanawake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni miaka 50 tangu watanganyika baadae watanzania tulianza kujitawala na kujiamulia mambo yetu wenyewe. Ikumbukwe kwamba kabla ya hapo serikali yote kuanzia gavana (rais) wa wakati huo, mawaziri...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Wananchi wa Igunga, Kata ya Mwashiku katika Kijiji cha Mwashiku, wakiwa bado na hasira ya kudhulumiwa haki yao ya kupiga kura, kuuawa kinyama kwa wenzao na wengine wakipotea mpaka leo hawajulikani...
0 Reactions
68 Replies
7K Views
Brother Nape kaulizwa maswali haya na watu wake wa karibu ambao huwa anachati nao mara kwa mara kwenye face book lakini hajajibu Tupe yaliyojiri mwanza kaka! whtsup in mwanza? Naomba Nape uishauri...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
By DAILY NEWS Reporter, 17th October 2011 MINISTER for Foreign Affairs and International Cooperation Bernard Membe has described the killing of Ms Zhu Jinfeng, a Chinese investor, as an isolated...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Heshima mbele watanzania. Katika kibwagizo cha kile kipindi cha dakika45 kinachorushwa na itv, waziri sitta anatupiwa swali na uchokozi kuhusu msimamo wake kwenye swala la Richmond. Bila kumumunya...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
nimeona kwenye taarifa ya habari jana na leo na pia nimesoma kwenye magazeti kuwa Mh Rais Mstaafu Benjamin Mkapa amekemea wale wote waliojilimbikizia mali wakati wa Kongamano kumbumkuka Mwl...
9 Reactions
48 Replies
4K Views
huyu mzee ni mwenyekiti wa bunge kamati ya halmashauri za wilaya (naomba ni-correct kama nimekosea) alianza kwa kasi akidai atafunga wafanyakazi wengi walioiba hela za serikali lakini nashangaa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
MBUNGE wa Ludewa mkoani Iringa, Deo Filikunjombe amejitolea kuwalipa mishahara waganga wa zahanati mbili za Kilondo na Lifuma jimboni humo ili kusogeza huduma ya afya kwa wananchi wa maeneo hayo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
• Wamuonya asiilipe Dowans kwa vile alishaikana na Danson Kaijage, Dodoma Tanzania Daima MAASKOFU wa Kanisa la Christian Mission Fellowship (CMF), wamesema kitendo cha Rais Jakaya...
5 Reactions
37 Replies
4K Views
....jamani nimeckia kuwa mamlaka ya udhibit wa nishati kuwa wana toa bei elekezi za nishati kila baada ya wiki 2. Nachotaka kujua ni kuwa je gesi asilia ile tunayotumia kupikia huwa wanatoa bei...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Tanzania is soon going to celebrate its 50 years after independence...in waiting for the time lets try to ask ourselves on the following questions: 1. How did we go after independence? 2. what are...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Huwa kila siku najiuriza ni nani haswa anaimiliki Tanzania kati ya makundi haya? je ni 1. Raisi, familia yake plus washikaji wake? 2. MAGAMBA? 3. MAFISADI? 4. WALALA HOI? 5. WAWEKEZAJI wa MIGODI...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna watu wengi hapa wa Chama cha mapinduzi wanampinga huyu mzee kwa kusema waziwazi kwamba ataisaidia chadema. Ukweli ni kwamba huyu mzee anapenda nchi kuliko chama chochote Tanzania. Huyu Mzee...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…