CHADEMA na ofisi za biashara

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Nimeshtuka sana kuona hii picha,..
sijui kama ndo kukusanya hela za kuendeshea chama au vipi.
Lakini ofisi ya chama kugeuzwa kuwa sehemu ya biashara?
sielewi ati

View attachment 39240
 
Ulitaka wadhulumu wananchi kwa kukamata meza na mbuzi ili kujenga ofisi kwa manufaa ya wachache kama magamba enzi zile?
 
Hiyo ipo sawa kabisa, chama cha walala hoi haina shida kama wanaweza kujikimu kwa kuuza matikiti maji na huku wakigawa sera kwa wateja wao.
 
/wwe wa ajabu kweli, unashangaa ya CDM? umetumwa wewe itakua mbona Magamba ofisi zao zote za matawi ni sehemu za kulazia magari na baa hujaliona hilooo
 
1.It was strategically located there.Ni sehemu rahisi zaidi kuonekana na wengi.
2.Bado chama hakijawa na uwezo wa kuendesha mambo yake yote kwa kujitegemea.
 
Chama cha walalahoi inabidi kionekane kwa vitendo na sio kwa maneno, hii inaonesha wanayoyasema kwenye mikutano ndo hayo hayo yaliyokuwa ktk uhalisia
 
Wanakusanya mshahara wa Slaa.

Mawazo yako yanafanana na avatar yako,lakini pia nimefatilia post zako nyingi humu JF is like unaumwa ukichaa vile au uliwai umwa bado ujapona vyema...na wewe upo na mke wako na watoto wako unawaambia mchango wako kwa ukombozi wa Tanzania ndio huo uharo ulioandika hapo? Hv unadhani Dr Slaa ni mwizi kama viongozi wa magamba? Jaribu kuwa na comments za mtu mzima na mwenye akili timamu,wewe ni baba wa familia ati!! unatia aibu hata kwa watoto wako,sasa kama baba ni kichwa tope hivi hao watoto watakuwaje? si watakuwa majitaka square.....!!!
 
attachment.php
 
Mbona iko poa tuu. CDM IMENIFURAHISHA tuzame vijijini nw, mjini walau kinaeleweka
 
Kama serikali imeshindwa kuwajali kina mama kama huyu ni aheri chadema kumsaidia mama huyu kujipatia kipato.chadema hawana dhahabu wala fedha kumpa mama huyu hila wamemsaidia ili kuweza kuiudumia familia yake
 
Mawazo yako yanafanana na avatar yako,lakini pia nimefatilia post zako nyingi humu JF is like unaumwa ukichaa vile au uliwai umwa bado ujapona vyema...na wewe upo na mke wako na watoto wako unawaambia mchango wako kwa ukombozi wa Tanzania ndio huo uharo ulioandika hapo? Hv unadhani Dr Slaa ni mwizi kama viongozi wa magamba? Jaribu kuwa na comments za mtu mzima na mwenye akili timamu,wewe ni baba wa familia ati!! unatia aibu hata kwa watoto wako,sasa kama baba ni kichwa tope hivi hao watoto watakuwaje? si watakuwa majitaka square.....!!!

Kile kidonge chake hajakimeza leo, ndo maana!
 
Back
Top Bottom