Wananchi wa Igunga nao wameamua kuua! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananchi wa Igunga nao wameamua kuua!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by MgungaMiba, Oct 17, 2011.

 1. M

  MgungaMiba JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 28, 2011
  Messages: 884
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 80
  Wananchi wa Igunga, Kata ya Mwashiku katika Kijiji cha Mwashiku, wakiwa bado na hasira ya kudhulumiwa haki yao ya kupiga kura, kuuawa kinyama kwa wenzao na wengine wakipotea mpaka leo hawajulikani walipo.

  Jana J'pili saa 4 asubuhi, walimkamata Mwalimi Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Mwashiku Bw. Medard Labozi, walimfunga kamba, wakampiga mawe, kisha wakamchoma moto akiwa hai. Alipiga kelele za kutisha hadi alipokata roho, mwili wake uliteketea hadi kubaki majivu.

  Kosa lake ni kukamatwa akiiba saruji ya ujenzi wa sekondari hiyo. Wakati wakifanya ukatili huo, wananchi hao walisikika wakisema, "Kura mtuibie, Wenzetu Muwaue, hata Jasho letu pia Mtuibie?

  Hii ndiyo dawa yenu Mafisadi wakubwa, na huyo Mkurugenzi Magayane nae tunamtafutia timing tumfanye hivihivi!"
   
 2. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hungry people... are angry people...
   
 3. T

  Topical JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  damu ya yesu..ndio inateketetea hivyo
   
 4. Naibili

  Naibili JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,681
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  damu ya mtu huwa haipotei bure,
   
 5. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Even though I don't tolerate corrupt officials I still also don't approve people who take law into their arms. Our laws have made it clear that a subject is innocent till proven otherwise guilty by legal authorities. Consequently, I totally denounce the brutal killing of the so 'dishonesty' official and I call upon the government to seize and bring all the slayers to justice. My heart is with his bereaved wife, children and other relatives. May GOD rest his SOUL in eternal peace.
   
 6. F

  Fanfa JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 25, 2009
  Messages: 538
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huo ni ujumbe kwa wote wanao-fisadi mali za watanzania, tena kodi za walalahoi na kujinufaisha wao.
   
 7. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Very sad story!!!! Dawa ya moto haiwezi kuwa moto
   
 8. Msolopagazi

  Msolopagazi JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 659
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Safi sana bado kwa mafisadi papa
   
 9. g

  godsenior Member

  #9
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  the way u post ur thread seems u are happy with the situation..,TAKING LIFE BY ANY CAUSE ISN'T FAIR ON POINT OF HUMANITY..,WE WONT PROGRESS BY LETTING OTHERS KILL OTHERS..,JUST COZ THEY STOLE FROM THEM...!
   
 10. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Too bad tumefikia huku kuna hatari kubwa mno.Tanzania yangu jamani naililia .
   
 11. lutamyo

  lutamyo JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Well said bro! Karibu tena kutoka kifungoni Mungu awape faraja na kuwashika kwa mkono wake hodari wenye nguvu... Watoto na mke wake.
   
 12. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Duh hili limelikugusa lakini la marehemu Mbwana ukaona amejitakia...we still have a long way to go kwa stability hii. May he Rest in Pc
   
 13. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  eternal peace by default... Hakuna eternal peace hapo. Hata kwa walioua
   
 14. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Jamaani heee huo nimwanzo wa baraaaaaaa CCM zinduka rudi kwa wananchi wacha ubabe huo utazaa ubabe!!!!!!!!!!!!
   
 15. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Bwn Mwita hawa watu walijua wakimpeleka huyu mkulu polisi hakuna kitu atafanyiwa!!!!!!!!!!Wananchi walishajua wezi ndio wababe na watawala hawafanywi chochote!!!! Hivyo haki ilishapotea siku nyingi nchii hii, that's mass justice!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 16. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  kwahiyo baada ya kumuua wameipata hiyo haki? Halafu hawajui kuwa dhambi ya kuua mtu huwa haisamehewi na Mungu? Hao wakifa ni motoni tu
   
 17. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  Siungi mkono ukatili huo wa watu kujichukulia sheria mkononi kama ambavyo haikuwa sawa kwetu kwa watu wetu kuuawa Igunga basi hata hili si sahihi. Naona watu wangu CDM mnaanza vibaya kwa kushabikia mauaji haya ya ukatili si vema. Usishangilie kuuawa kwa mwanadamu mwenzako bali. Siasa si uadui wa mpaka kushaingilia mtu kuuawa kwa kuwa si wa chama chako NO!!!!!!!!!!
   
 18. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #18
  Oct 17, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Nakiri kuwa mimi si muumini wa ufisadi. Nachukia ufisadi. Nawachukia mafisadi.

  Hatuwezi baki salama kama tutaruhusu kuuana kinyama.

  Kwanini tuamue kuana wakati sheria zipo wazi na zinajieleza.

  Nawalaani wote walioshiriki ktk huu unyama. Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali panapostahili. Amen!
   
 19. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #19
  Oct 17, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  safi sana mwita. ni authority zile zile ambazo zilirekebisha kesi ya ditopile iwe ya kuua bila kukusudia, au ni zingine?
   
 20. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #20
  Oct 17, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Andiko gani hilo mkuu? kwa hiyo paulo, eliya, daudi, et al watakwenda motoni kwa kuwa walishaua kwenye maisha yao!
   
Loading...