Who own tanzania?

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
Huwa kila siku najiuriza ni nani haswa anaimiliki Tanzania kati ya makundi haya?
je ni
1. Raisi, familia yake plus washikaji wake?
2. MAGAMBA?
3. MAFISADI?
4. WALALA HOI?
5. WAWEKEZAJI wa MIGODI YETU, WAWEKEZAJI WA VITARU VYA UWINDAJI KAMA VILE OBC KULE LOLIONDO? WAWEKEZAJI WA KICHINA?

Mwenye jibu pls
 
Tanzania ni nchi kwahiyo wanaoimiliki ni watanzania. Kama unaulizia juu ya kukithiri kwa ufisadi Tanzania kiasi cha kufanya watanzania waonekane wageni hilo limejadiliwa sana hapa.
 
Back
Top Bottom