Sabodo ni Mpenda Nchi kama Nyerere! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sabodo ni Mpenda Nchi kama Nyerere!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kamundu, Oct 17, 2011.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Kuna watu wengi hapa wa Chama cha mapinduzi wanampinga huyu mzee kwa kusema waziwazi kwamba ataisaidia chadema. Ukweli ni kwamba huyu mzee anapenda nchi kuliko chama chochote Tanzania. Huyu Mzee anapenda Wananchi kuliko siasa na mambo anayofanya si ya siasa bali ni ya kusaidia jamii. Ukweli ni kwamba huyu ni mzee ambaye ameshakuwa mtu mzima sana na akajiuliza je nataka nikumbukwe vipi nikifariki leo? na jibu lake ni kwamba nataka nikumbukwe kama Mtanzania mwema, mwenye maadili, niliye bahatika kifetha na nilie saidia jamii kwa moyo wangu wote. Sabodo ni mtu anayechimba visima na kujenga shule Tanzania nzima kutoka Rombo hadi lindi. Huyu mzee hana chuki na Mtanzania yeyote mwenye nia nzuri anampenda Prof Mwandosya na Dr. Slaa. Ukweli ni kwamba mtu yeyote anayependa nchi kwa sasa na hana la kufaidika kwenye serikali ya sasa atakubaliana na huyu mzee kwamba ni vigumu kwa CCM ya sasa kukabiliana na rushwa. Sabodo anakuwa anaongea na gazeti moja na kusema wakati alipoenda kufungua shule Rombo, Kilimanjaro raisi kikwete alikuwa pale kumpigia kampeni Waziri wa zamani wa fetha ambaye tayari alikuwa kwenye kesi ya ufisadi ambayo inaendelea mpaka sasa. Kama kweli unapenda nchi ni wakati wa kujiuliza je hawa Viongozi tulionao sasa hivi wanaweka kuwa toa wala rushwa kwenye serikali yetu. Watanzania wengi hata mimi ningependa niwe kama huyu mzee nifanye biashara zangu na nifanikiwe na nitumie hizo pesa kusaidia wananchi wa chini. Mimi leo hii ningepewa uraisi kama Kikwete na propoganda za chama zinilazimishe kubeba watu wanaokula pesa za masikini ni mara 100 niwe sabodo kuliko Kikwete. Hizo shule na visima anavyochimba huyu mzee vingetakiwa kufanywa na serikali kwa ku sign mikataba mizuri ya uwekezaji, uongozi na sera nzuri za maendeleo na kukomesha ufisadi. Kama unapenda Tanzania ni lazima utampenda sabodo lakini kama unataka kupigana na kunufaika na ufisadi unaoendelea basi utamchukia. Lakini ni lazima tuelewe kwamba Ufisadi wako wa sasa hauna maana utakusaidia pale utakapo pata stroke au Cancer kwasababu hakuna dawa hospitalini. Ufisadi hautasaidia watoto na wajukuu zako huko baadae. Tanzania ni lazima tuendelee pamoja
   
 2. T

  Topical JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Muuza ile nanihiii
   
 3. M

  Msharika JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  huyu angekuwa alipi kodi lazima CCM wange msukumia TRA, lakini kwasababu ni msafi ndio maana aumiumi maneno.
   
 4. dhahabuinang'aa

  dhahabuinang'aa Senior Member

  #4
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sisiyem imekanyaga pabaya kwenda mbele pagumu kurudi nyuma pagumu ipo njia mpanda!
  kwenye mitandao pachungu uraiani ni timbwi
  kwa sasa hata wenyewe ccm ni mtihani hata wao kwa wao
  na zile damu wanazozimwaga za wanaharakati wasio na hati zitawamaliza zaidi ccm kwiiiiiiiiiiiisha
   
 5. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zinawauma sana CCM hizo hela za Sabodo mpaka wameanza kujikanyaga.
   
 6. T

  Topical JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mnazipenda hela ..najua hata za lowassa mtachukua au siyo

  your are deceived and blind
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,307
  Likes Received: 22,111
  Trophy Points: 280
  Kwanini hagombei urais tumpe nchi?
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,307
  Likes Received: 22,111
  Trophy Points: 280
  Mwita 25 naona umekuja kivingine
   
Loading...