Nape jibu maswali haya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape jibu maswali haya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kichwa Ngumu, Oct 17, 2011.

 1. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Brother Nape kaulizwa maswali haya na watu wake wa karibu ambao huwa anachati nao mara kwa mara kwenye face book lakini hajajibu
  1. Tupe yaliyojiri mwanza kaka!
  2. whtsup in mwanza?
  3. Naomba Nape uishauri serikali yako sikivu ya CCM iwalipe Wazee wa Eas Afrika Community kwanza ndipo tuangalie uwezekano wa kulipa DOWANS
  4. wachafuzi ndani ya chama washughulikiwe,CHAMA SI CHA MTU MMOJA WALA KIKUNDI BALI NI MALI YA WANACHAMA WAAMINIFU,WENYE UCHU WA MADARAKA WANGATUKE CCM
   CCM TUTAENDELEA KUSHINDA,SERA YETU SI MATUSI.
  Nawasilisha
   
 2. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  mpuuzi huyo, anawaambia wenzake wanashikishwa ukuta. Nimesoma gazeti leo nilidhani alikuwa akiongelea bar ..kumbe ni mkutanoni kabisa
   
 3. dhahabuinang'aa

  dhahabuinang'aa Senior Member

  #3
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HUYO NI NEPI
  kazi ya nepi ni kuhifadhi mavi ya mtoto mdogo
   
 4. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,782
  Likes Received: 36,777
  Trophy Points: 280
  Nape ana kinywa kichafu kama choo cha shule ya kata.
   
 5. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Yule kilaza hawezi kusema lolote yule nye mnamuona mtu wa maana wa kujibu maswali haya?
   
 6. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Labda umpelekee haya unayoita maswali facebook huko
   
 7. j

  jigoku JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Ni kituko kwa katibu mwenezi kutamka hadharani kwenye mkutano wa chama tena chenye mwenyekiti ambae ni Rais wa nchi,imagine mtu na mic anatamka mnashikishwa ukuta!!!!
  Chama cha sisiemu hakina matusi kweli
   
 8. B

  Buto JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tena cha shimo kilicho jaa mavi
   
 9. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mimi kwa kweli nimeshindwa kushangaa ikabidi nistaajabu,naomben cv yake esp. Ya elimu.Mwenyekt wake alimtuma kuongea vile?masaburi ya kichna
   
Loading...