Maandamano ya UVCCM wafuasi wa Millya hayakuwa na kibali cha polisi

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Nimepata habari kutoka Arusha kwamba yale maandamano ya jana ya vijana wa UVCCM wafuasi wa Millya yalikuwa hayana kibali cha polisi. Inafaa CDM walivalie njuga suala hili, kwani ingekuwa ni waio, basi viongozi wa CDM leo hii wangekuwa wanapandishwa kizimbani.
 
CDM haina haja ya kuvalia njuga suala la UVCCM waache wafu wazikane.

Nimepata habari kutoka Arusha kwamba yale maandamano ya jana ya vijana wa UVCCM wafuasi wa Millya yalikuwa hayana kibali cha polisi. Inafaa CDM walivalie njuga suala hili, kwani ingekuwa ni waio, basi viongozi wa CDM leo hii wangekuwa wanapandishwa kizimbani.
 
Polisi, Bakwata, Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni Vitengo vya Magamba kama tu UwT, UWT, UVCCM, Wazazi na Mafisadi Papa original woote ni dugumoja!.
 
Nimepata habari kutoka Arusha kwamba yale maandamano ya jana ya vijana wa UVCCM wafuasi wa Millya yalikuwa hayana kibali cha polisi. Inafaa CDM walivalie njuga suala hili, kwani ingekuwa ni waio, basi viongozi wa CDM leo hii wangekuwa wanapandishwa kizimbani.
unaonekana kama uko bias sana. why chadema only? unamaanisha vyama vingine vya upinzani vikiandamana hawatabugudhiwa? Umesahau CUF waliouliwa mwaka 2001 zaidi ya watu70? Umesahau hata Prof Lipumba alivunjwa mkono? Umesahau wafuasi wa NCCR-Mrema walichofanywa? Tumia akili katika kupost thread zao. Au ukiwa mwanachama wa cdm unatumia masaburi kufikiria?
UVCCM=Police
 
Hatuwezi kufikia malengo kwakuwa fikra zetu zinaongozwa na ushabiki.

Kwakuwa kuandamana bila ya kibali ni kosa, inapaswa kwa wapenda haki wote wanapaswa kulivalia njuga. Na wala kazi ya chadema pekee.
 
Police wetu cjui ln watakuja amka na kufunguka vichwa vyao waache kutenda kwa kuegemea ccm
 
unaonekana kama uko bias sana. Why chadema only? Unamaanisha vyama vingine vya upinzani vikiandamana hawatabugudhiwa? Umesahau cuf waliouliwa mwaka 2001 zaidi ya watu70? Umesahau hata prof lipumba alivunjwa mkono? Umesahau wafuasi wa nccr-mrema walichofanywa? Tumia akili katika kupost thread zao. Au ukiwa mwanachama wa cdm unatumia masaburi kufikiria?
Uvccm=police

cuf=ccm.
 
unaonekana kama uko bias sana. why chadema only? unamaanisha vyama vingine vya upinzani vikiandamana hawatabugudhiwa? Umesahau CUF waliouliwa mwaka 2001 zaidi ya watu70? Umesahau hata Prof Lipumba alivunjwa mkono? Umesahau wafuasi wa NCCR-Mrema walichofanywa? Tumia akili katika kupost thread zao. Au ukiwa mwanachama wa cdm unatumia masaburi kufikiria?
UVCCM=Police

Ni CCM tu wanaofikiria kwa kutumia makalio ndiyo maana nchi imefukarika licha ya utajiri mkubwa wa raslimali tuliojaliwa na Mwenyezi Mungu.
 
Wao wasitufanye sie mazuzu waaacheni waji kaange wao wenyewe ipo siku sie tutawapa mkanda mzima wa matukio yote wanayo yafanya na tena mahakamani ili hiyo mahaka inayopenda kupokea vitu bila utafiti iwe na aibu pia
 
Back
Top Bottom