Naomba kujuzwa kitu kuhusu EWURA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujuzwa kitu kuhusu EWURA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tanganyika1, Oct 17, 2011.

 1. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  ....jamani nimeckia kuwa mamlaka ya udhibit wa nishati kuwa wana toa bei elekezi za nishati kila baada ya wiki 2. Nachotaka kujua ni kuwa je gesi asilia ile tunayotumia kupikia huwa wanatoa bei pia? Mama mambo haya nanavyokwenda mi hata celewi tena kwa hii nishati mana kila kukicha bei inaongezeka.
   
Loading...