Augustino Mrema kafunga wangapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Augustino Mrema kafunga wangapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rosemarie, Oct 16, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  huyu mzee ni mwenyekiti wa bunge kamati ya halmashauri za wilaya (naomba ni-correct kama nimekosea)
  alianza kwa kasi akidai atafunga wafanyakazi wengi walioiba hela za serikali
  lakini nashangaa yuko kimya,,je alifanikiwa kumfunga mtu yeyote?
   
 2. M

  Majasho JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 341
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  sio kazi yake kfunga watu, and how can he do that, kazi yake ni kagua mahesabu ya serikali za mitaa any problem anawakilisha bungeni,
   
 3. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  amelala fofofoooooo
   
 4. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aliomba na ulinzi serikalini, na chopa.. Hahahaaa!
   
 5. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Lakini pia kamati yake ina mamlaka ya kuwaamuru walifuja mali za halmashauri wakatwe mishahara ili kufidia. Sijui amewafanyia wangapi hivyo
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  unakumbuka alivyomkalia kooni mkurugenzi mmoja kutoka same??alidai lazima afungwe,nafikiri ni wajibu wake
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Mzee wa watu anaumwa. Mwacheni apumzike.
   
 8. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hana meno ya kuamuru mtu afungwe!
   
 9. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Alimfunga john mrema wa chadema kule vunjo katika uchaguzi mkuu 2010 kwa kupata kura nyingi sana.
   
 10. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kamfunga mkurugenzi wa halmashauri na bunge wa chadema john mrema kwenye uchaguzi2010 kwa kura nyingi sana.
   
 11. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Si alienda kwa babu? kwani hajapona?
   
 12. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,582
  Likes Received: 4,692
  Trophy Points: 280
  Kwani ameshaamka usingizini? Kiacheni kidingi cha watu kalale salama.
   
 13. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu hii kazi yake ya kamati ya bunge serikali za mitaa alidai atafunga wengi,achana na mambo ya uchaguzi
   
 14. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #14
  Oct 17, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  dogo siku nyingine ukiwa hauna cha kuchangia unafunga bakuli lako!
   
 15. only83

  only83 JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  Ni mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya serikali za mitaa mkuu.Ofcourse wakati anaongea kisukari kilikuwa juu na kwahiyo hakujua anaongea nini.......kama JK mwenyewe anagwaya wewe utaweza?
   
 16. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Apone wapi?yaani ndio amekuwa zezeta sasa akisinzia kidogo tu udenda huoo.
   
 17. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kamati nzima ilihongwa na wakurugenz wote wakawa kimiaa. Kafulila alitaka kuwalipoa bungen... Nae kama mwnykt wke mrema wote wakawa kimiaa! Njaa noma
   
Loading...