Mbunge wa CHADEMA bi Susan Lyimo atuwakilisha vyema mkutano wa kimataifa...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa CHADEMA bi Susan Lyimo atuwakilisha vyema mkutano wa kimataifa......

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by only83, Oct 18, 2011.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mwanasiasa machachari na mbunge wa viti maalumu wa CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO-CHADEMA ametuwakilisha vyema kwenye mkutano wa kimataifa wa kuzia matumizi ya nyuklia kwa ustadi mkubwa na wakipekee sana,hii inaonyesha namna ambavyo CDM imejaza vichwa vya ukweli na stadi katika mikutano mikubwa hasa ya kimataifa...

  Suzan Lyimo.jpg

  eko mama naona umepiga kiasili umependeza sana..............
   
 2. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  CDM hawana muda wa porojo, ni kazi kwa vitendo. Hongera bi Susan
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  safi sana
  nimependa uamuzi wake wa kuvaa kama mtanzania
  mnaopewa misuti ya bure na waarabu mnajifunza nini hapo
   
 4. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,163
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda hiyo ya kupewa suti,
   
 5. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  [​IMG]

  Safi sana Suzan kwa kuwakilisha pia utamaduni wetu halisi.
   
 6. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Hongera
   
 7. T

  Topical JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Anafanya utalii zaidi kuliko kazi.
   
 8. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Ndio hapo basi yaani wewe kwenda kutufanyia fashion show sehemu ya watu wako serious na shughuli za maendeleo wewe ndio unaona ametuwakilisha vema kweli vigezo vyetu vya maana ya neno vema tunatofautiana. Ningelisikia Susan Lyimo amefanikiwa kupata mkopo wa Billioni kadhaa kuja kujenga kinu cha kufua umeme wa nyuklia Bongo. Au kapata wawekezaji kuja kuwekeza katika Uranium yetu ningelikubali ametuwakilisha vema. Mwe kuna watu wanafikiria kwa masaburi Tanzania hii hadi aibu.
   
 9. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Wajumbe kutoka Tanzania ambao wengi ni kutoka ccm, kama kawaida yao wako mitaani wanazurura, viti viko vyeupeeeeeeee,
   
 10. N

  Ngoiva Lewanga Senior Member

  #10
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kumbe vazi la mtanzania ni vazi la kimasai. Heko sana wamasai dumisheni mila ile wengine walishindwa
   
 11. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Acheni ushamba na akili zenu zilizoathiriwa na utumwa,mbona akina Obasanjo au Johnson wakivaa kinaijeria kwenye mikutana ya kimataifa tunawasifia?!
   
 12. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  naomba kujua alichosema......
   
 13. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mwenye masaburi ni wewe unaedhani eti kila kitu watanzania hatuwezi kufanya hadi aje mwekezaji. wewe na wenzio wenye mawazo kama yako bongo zenu zimejaa makamasi, na bado lazima tu mtawaita wawekaji wa kuwatia mimba wake zenu
   
 14. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Masaburi mwengine huyu,

  Wewe unadhani kwenda kuonyesha fashion show ndio sifa? Mwangalieni Zitto akienda mambo anayoyafanya kajifunzeni kwake mjue. Dunia ya sasa si ya kutalii ni kukimbia muda wa kushangaa umeisha. Bora mie nitakayeleta mwekezaji kwani atatoa kazi, umeme utapatikana, maisha yataboreka kodi itaongezeka kuliko mtalii wenu anaenda kushangaa majengo, kodi inatumika bure, akija hapa kutwa maandamano na kelele nyingi hakuna kitu serikali inaingiza wajinga Tanzania wapo wengi loh!!!
   
 15. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Wanigeria wanavaa maguo yao lakini kazi wanafanya sio kuonyesha fashion show. Ndio maana watu wengine wanawadharau nyie kazi yenu kutwa maandamano tu na akili za zidumu fikra za mwenyekiti Mbowe. Tueleze Susan Lyimo ameisaidia nini Tanzania katika mkutano huo sio kukaa mkisifiana magwanda ujinga huo ushapitwa na wakati.
   
 16. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Shangazi amependeza sana!
   
 17. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Two In One katangaza utalii wetu na katuwakilisha vizuri.
   
 18. h

  hoyce JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Anatangaza utalii. Nashukuru umetambua
   
 19. h

  hoyce JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  sawa, Zitto si anawaletea kazi zake mwenyewe? Anawapa anachotaka. Msikilizeni. Huyu ni tofauti na watu wasiojua kujifagilia. Wanasubiri anayekuona anachagua nini. Huyu aliyeripo leo amechagua mavazi. Zitto asingeona hilo maana yy kafanana na walimwengu wenzake.
   
 20. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  kwakweli mama mepeeeesha
   
Loading...