Zawadi Ngoda soma hapa kwanza tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zawadi Ngoda soma hapa kwanza tafadhali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lunyungu, Oct 18, 2011.

 1. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  By ABDULWAKIL SAIBOKO, 18th October 2011 Daily News
  THE World Bank has called for introduction of cash transfer to people
  as poverty is on rise among individuals in Tanzania despite general
  economic growth.
  The WB's report issued on Tuesday with a title; 'Tanzania: Poverty,
  growth and public transfers' noted that poverty in the country was
  widely spread.
  "The report proposes that for the country to have a sustainable
  economic development, two options should be enforced, one of which is
  cash transfer and another is public works", said the WB Lead Social
  Protection Specialist, Ms Anush Bezhanyan.
  Ms Bezhanyan observed that cash transfer involves giving cash to
  individuals who are unable to work in which the government is supposed
  to dictate modalities of expenditure and make a follow-up to get
  feedbacks.
  "The government can, for example, direct the beneficiaries of the cash
  transfer to use the monies in taking their children to school, and
  then a follow-up must be made to see whether the target has been
  achieved," she said.
  On public works, Ms Bezhanyan said the government was required to
  allocate some public works in people's localities from where the poor
  would earn something in terms of cash.
  Citing examples, she said Ethiopia was one of the African countries
  which could provide best practice on how the two modes could
  effectively transform lives of individuals, hence, lead to overall
  economical growth.
  WB's Consultant, Mr Jim Smith said 83 per cent of the poor are in
  rural areas but there are many poor people in non-poor areas.
  "Targeting specific areas basing on geographical locations is not
  proper, the report shows that poverty in the country was evenly
  spread," he said.
  The report also shows that over 6.4 million people live below the food
  poverty line, some 10 million people are facing severe seasonal food
  insecurity and about 12.7million people are below the basic needs
  line.
  According to the report, the existing projects on poverty reduction
  have a limited coverage which is less than one per cent of the poor
  and there are inclusion and exclusion errors due to generalization
  approach.
  It suggests that "the government should move towards a single national
  programme large enough to cover the country and big enough to make a
  difference".
  The Tanzania Social Action Fund (TASAF) System Manager, Mr Ladislaus
  Mwamanga, said the fund has already started working on some of the WB
  report's recommendations.
  "We have already started cash transfer as a pilot project in three
  districts whereby some 10 US dollars are disbursed to every household
  per month," he said.
  He said that the pilot project which began in 2008 covers Bagamoyo,
  Kibaha and Chamwino districts in Cost and Dodoma regions respectively.
  "Already 200 households have benefited and the project has already
  received some 1.9 million USD from Japan Social Development Fund and
  4.5 million USD from WB to support the project's implementation", he
  said.
   
 2. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Sidhani kama ataielewa hiyo report ya WB inatoa picha gani kwa chama chake cha magamba pamoja na serikali yake.

  Na kama ataielewa ataipinga kwa hoja rojo rojo!
   
 3. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,579
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Nina wasiwasi kama nyuzi za jitaa hazitakatika kabla mbuzi hajacheza
   
 4. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Nataka yeye na wapuuzi wenzake watema povu hapa jamvini waseme .FF uko wapi ?
   
 5. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,594
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Lunyungu,why not make it "readers friendly"?
   
 6. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  Duh kweli nchi inaliwa vibaya tunahitaji alshabab wajitoe mhanga kunusuru nchi
   
 7. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Bado nawangojea mimi akina Nape , Ngoda na wenzake wajibu hapa kwanza .
   
 8. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,431
  Likes Received: 3,779
  Trophy Points: 280
  hawawezi tokea. Hayo ma-mtu ukitaka yajibu kitu basi mtaje Slaa
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,912
  Trophy Points: 280
  Wapo kwenye thread za malaria sugu
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Uchum upi unakua?
  Km umaskin upo so HIGH!
   
 11. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,801
  Likes Received: 83,173
  Trophy Points: 280
  Mkuu Lunyungu ahsante sana kwa ujumbe huu. Siku hizi wamekuja na jibu lao la "Wanafiki wote hawa" wakati nchi inazidi kwenda mrama na yule jamaa pale Ikulu kakaa kukenua kenua hana jipya lolote la kuisalimisha nchi kuanguka kiuchumi.

  Na Wale BoT watatoa statistics zao za kupikwa ambazo kila mwaka zinaonyesha uchumi wa Tanzania unakuwa kwa 6% na kuendelea, na huku hali ya maisha ikizidi kuwaelemea Watanzania walio wengi.

  Maneno ya Dr Slaa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu 2010 kwamba, "Kumchagua Kikwete ni janga la Taifa" sasa yametimia katika kipindi cha mwaka mmoja tu.
   
 12. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Je mkuu waifahamu tabia kuu ya kabila la wakwele.?
   
 13. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #13
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,600
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  Lunyungu you are right on!

  WB wanazo report nyingi sana kuhusiana na mataifa yetu, this one is about poverty..they offer solutions, they have other reports regarding corruptions, child deaths,diseases...etc

  The million dollar question is where are the solutions of other political parties?

  CCM wameshindwa, let say plan B ni chadema, chadema inasemaje kutatua matatizo haya? where are the solutions? where are the plans? where are clear general and detailed policies regarding these problems

  Ifike wakati humu tuweke utaifa mbele jamani, akina FF, MS, Ngoda wanaweza wakawa washabiki kama mlivyo nyie ila mko vyama tofauti..ushabiki au upenzi wa chama fulani is not a crime! the crime that bother pro-these parties are doing is not TO OFFER RIGHT SOLUTIONS

  Sidhani kama ilihitaji hii article ya WB kutueleza matatizo ya watanzania ambayo tunayajua na tunaishi humo........THESE article would be more meaningful kama ingekuwa imeandikwa na CHADEMA AU CUF!
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,801
  Likes Received: 83,173
  Trophy Points: 280
  Sijawahi kuwa na ukaribu na ****** hivyo siifahamu tabia yao kuu. Haitakuwa vibaya kama utaiweka hapa hiyo tabia yao kuu, lakini sijui kama ni kabila ndiyo inasababisha hali hii bali ni kutokuwa tu na uwezo wa uongozi.
   
 15. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Hahaaa FF anaingia shift ya mchana.....kuna vibaraka wengine wako around, utawaona tu watakavyotoka povu
   
 16. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kwenye RED,
  WB wanazungumzia serikali ipi hihi ya kwetu au kuna nyingine
  NI BORA zaidi report ikajadiliwa na Bunge ili kuona uwezekano wa utekelezaji wake au kuona ukweli uliopo ndani na waamue la kufanya
   
 17. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Yaani hata Ritz ? Mbopo na OMr wote hawajaingia kazini ? Leo huko CCM kuna nini tena ? Mie nafanya kazi huku nangoja majibu ya kitaalam .
   
 18. only83

  only83 JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Sidhani kama ataelewa hii lugha mkuu,jaribu kumuwekea ya kihehe maana hata kiswahili hajui vyema...
   
 19. only83

  only83 JF-Expert Member

  #19
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Wanachangia thread ambazo akili zao zina uwezo wa kuchambua kirahisi,hawana muda wa kupitia thread kama hizi zenye analysis ya ukweli...
   
 20. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Mr.Lunyungu you are not serious.
  Haiwezekani unakuja na hoja nzito kama hii alafu unataka kuijadili na watu wasio serious.
  Hili jambo linahitaji watu makini na wenye upeo mkubwa waje kulijadili.
   
Loading...