Hujuma Umeme Kukatika wakati wa Taarifa ya Habari

M-bongo

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
338
71
Wana Jf nimefatilia leo Usiku kuanzia saa mbili usiku mpaka saa tatu umeme ulikatika sehemu kubwa ya Tanzania,Iringa,Dodoma,Mwanza,Kigoma,Lindi,Mtwara haya ni maeneo ambayo nina uhakika kwa asilimia 100 kuwa umeme ulikatika kwa muda wa dakika 50 mpaka 60 ili watanzania wasimuone LOWASA akiongea.
 
Kwani Lowasa ana umuhimu kwa Nchi hii au kuna kingine zaidi ?Wangalimuona wangalifanya nini ?
 
Hivi mabwege humu JF wamefuata nini? Huyu jamaa hajui anachokiongea. Hivi kwa akili yako kuna nini kwenye hotuba ile kinachoweza kufanya watu wakazima umeme ili asisikike? Au kule kudai hawakukutana barabarani na Mkuu ndiyo kitu cha kuzimia umeme? Kwa taarifa yako sisi tulikuwa na umeme na kwa sababu tulishazikia kwamba jamaa kasema mlenda, tukahamia Mnet.
 
Kwani Lowasa ana umuhimu kwa Nchi hii au kuna kingine zaidi ?Wangalimuona wangalifanya nini ?

Kaka swali hilo linamfaa mwenye akili. Jamaa kakurupuka kusema baada ya kupewa amri ya kuingia humu!
 
Back
Top Bottom