CHADEMA ni sawa na 'Simba mfa maji' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA ni sawa na 'Simba mfa maji'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zawadi Ngoda, Oct 18, 2011.

 1. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Kama sera za CHADEMA zingekuwa nyoofu, Watanzania wangeshafahamu ni wapi chama kinatupeleka. Lakini mpaka leo hii hakuna hata mtanzania mmoja anaweza kuthubutu kusema anaelewa ajenda za CHADEMA. CHA AJABU NI KWAMBA HATA WALE, wanachama wakereketwa wa chama hicho nao hawafahamu. Katika mazingira hayo hayo unategemea hatima ya chama hichi ni ipi.

  Baada ya kuisoma CHADEMA nikaelewa kuwa hiki ni chama cha nguvu ya SODA kinachotapatapa sawa na Simba mfa maji anayehangaikia survival yake. Hii inaonyesha wazi kuwa mfarakano ndani ya chadema ni sambamba na kukuwa kwa chama hicho. Hii ni kwa sababu CHAMA hicho hakina DIRA.

  Utabiri wangu ni kwamba kama CHADEMA itavuka salama uchaguzi ujao mkuu basi kifo chake kitakuwa mwaka 2017. Tuombe uhai!
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Wewe ndio mfa maji.

  Wewe na chama chako cha Magamba mnaotukanana wenyewe kwa wenyewe hadharani ndio mtadumu.? Huna kazi nyingine ya kufanya? Unalipwa sh ngapi kuleta thread za kipuuzi hivi? Vipi yale matusi mliyotukana wananchi wa Mwanza ndio sera yenu mpya.?
   
 3. Beautiful Lady

  Beautiful Lady Senior Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chadema imewashika aisee.mtaongea sana, lakini 2015 jiandaeni kukabidhi dola. Viva cdm..........!
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,608
  Trophy Points: 280
  ....Ama kweli Nyani haoni ........
   
 5. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Malipo yangu ni kuhakikisha Chama kichanga kinachotaka kushika madaraka kutofanya hivyo mpaka kikue. Ni kawaida ya mtoto kutaka kushika kila kitu hata kaa la moto. Mzazi mwema humlinda mtoto na kumzuia mahala pote pale pa hatari ili asidhurike na waliokaribu nao wasidhurike. Tungewaruhusu watoto wafanye kila wanachotaka basi ingekuwa hatari kwao na kwetu vile vile.

  Kwa maelezo hayo malipo yangu ni kuhakikisha CHADEMA kinakuwa kwanza.... Hapana si 2015 pengine baada ya 2020 kama kitasurvive.
   
 6. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  CCM ni sawa na janga la njaa.
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Wewe ndiyo kati ya wale watumwa wa sisiem siyo?? Kawaambie wamesema mpaka tuone na hawa CDM watatufikisha wapi ktk miaka 50 ya TZ kuwa huru. Magamba Mi nafsi yangu sitaki hata kuwasikia natamani iwe kama ile cha cha Kenya (KANU) ya ipotee ktk ulimwengu siasa.
   
 8. M

  Molemo JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  vita unayopigana hakika utashindwa! Rafiki yenu KANU yuko wapi.Nakuhurumia sana,sidhani kama unalipwa zaidi ya buku 2 kwa thread zako
   
 9. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Huwa nasoma makala zako nikiwa nataka kujua wajinga wanawaza nini?
   
 10. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Kwanza simba huwa hafi maji lakini pia mpaka uiite CDM simba ni wazi kwamba moyoni mwako unakitambua kwamba ni chama la nguvu. Pili inaelekea umeachika hivi karibuni maana posts zako zimejaa ghadhabu halafu akili kwa mbaaaaali kama chumvi kwenye chapati.
   
 11. m

  mndeme JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 2, 2008
  Messages: 322
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  we umekuja jukwaani kuishambulia CDM, we ndo kama simba aliyelowa maji kama chama chako a.k.a magambaz
   
 12. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Kama mgeeleweka mnachokitaka dola mngeichukua 2010. Lakini mlikosea kila upande: Mlimsimamisha mtu aliyekuwa hana maadili ya kutosha huku akiwa na matatizo ya maadili katka familia yake.

  Chama mpaka leo kimeshindwa kujieleza vya kutosha, kama kinasimamia umoja wa watanzania au la...... Tuhuma kali zilizotolewa katika uchaguzi hamjazijibu mpaka leo sasa mnahitaji watanzania wawape nini kama sio mkasi...

  Hatuna tabu nanyi, kueni kwanza.
   
 13. Maswi

  Maswi JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 898
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  umetumwa na nani? hizo akili au matope, wewe ndiye mfa maji.
   
 14. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Kuachika ni suala la kawaida, haya nayo CHADEMA itaachika lini? Mi nafikiri 2017! Maana wananchi wameshaanza kurudisha vyeti vya ndoa hapo ndipo mtaelewa simba akilowa maji usimba unatoweka.
   
 15. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Acha JAZBA kaka, Nimetumwa na UZALENDO.....Usiniulize nalipwa buk ngapi..
   
 16. mwaipembe

  mwaipembe Member

  #16
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  sasa naona wewe uwezo wako wa kufikiri umefika kikomo.pole kwa mawazo yako mfu
   
 17. Maswi

  Maswi JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 898
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  uzalendo wa kufulia magamba na mafisadi? au uzalendo gani unosema hapo
   
 18. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Kama pole wanastahili wanaCHADEMA, maana hiyo kasi waliokuwa nayo ya kuingia Ikulu ni kama Usain Bolt. Halafu hata salender bridge hawakatishi.

  Loooooo... Vyama vingine bana ni aibu tupu..
   
 19. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Vijana wa Chaga development manifesto tumkemee huyu bwana kwa jina la yesu aache kutuzonga.....chama linakuwa kwa uwezo wake mungu aliyehai uko mbinguni na ashindwe anaetuharibia..
   
 20. only83

  only83 JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  Usidhani kama wewe una akili ndogo za kutokuelewa falsafa ya CHADEMA basi watanzani wote wana akili tope kama zako,upunguani wako usichukulie ndio upunguani wa Watanzania....Nadhani ni bora kabla ya kupost tulia ukae uone cha kuleta hapa JF na sio kuja na mipasho isiyo na manufaa yoyote kwa taifa...
   
Loading...