Kuzuia mafisadi kugombea uongozi ccm.

Goheki

JF-Expert Member
Aug 23, 2011
448
387
Kitendo cha Nape kusema hatakubali viongozi waliyofilisi mashirika ya umma,hatakubali wagombee uongozi ndani ya ccm ni upuuzi. Ina maana akiwazuia,anawafahamu fika badala ya kuwazuia anapaswa awaooredheshe majina na kuwataja pia sheria kuchukua mkondo wake.Vinginevyo haina maana kwa wakati.
 
Jamani tushasema, kama ni hoja ya kumjadili huyu nepi humu ndani ISILETWE TENA...hamna hoja hapo nepi mwenyewe ni mfamaji
 
Kitendo cha Nape kusema hatakubali viongozi waliyofilisi mashirika ya umma,hatakubali wagombee uongozi ndani ya ccm ni upuuzi. Ina maana akiwazuia,anawafahamu fika badala ya kuwazuia anapaswa awaooredheshe majina na kuwataja pia sheria kuchukua mkondo wake.Vinginevyo haina maana kwa wakati.
Kikwete alikosea sana kumpa nape nafasi aliyonayo nahisi kama uwezo wake ni mdogo sana. Haoni kwamba anakichonganisha chama na wananchi? kwasababu kwakusema hivyo inamaanisha ndani ya CCM kuna wezi lakini adhabu yao ni kutokugombea uongozi tu.
 
Back
Top Bottom