NCCR mageuzi pawaka moto? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NCCR mageuzi pawaka moto?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kimboka one, Oct 19, 2011.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  hivi mkosamali anataka nini? au naye amashakuwa kama kafulila?.wadau tupata ata muda wa kuwajadili hawa watu isije ikawa ni wasani wa kawaida tu na wanataka kumchafua mbatia
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Moto wa namna gani na wewe? nccr ni ccm-c tambua hilo mkuu, Mkosamali hakujua wakati anajiunga kama Mbatia na NCCR wana link na Magamba.
  Mkosamali alikuwa kipofu na sasa anaona!
   
 3. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hao wote ni CCM tu, hatuna muda wa kujadili magamba hapa.
   
 4. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Mbatia ni Masaburi dogo na taarifa yako ni Crap
   
 5. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  acha misiba ikae misibani.
   
 6. L

  Libaba Member

  #6
  Oct 19, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  We ndo Mwita 25 ninayekufahamu ? au umekombolewa?
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  inawezekana kabisa ili mwanasiasa awe safi lazima awe mwanachama wa CHADEMA? Je wale waliotoka vyama vya magamba wakajiunga CDM nao ni wasafi ili mradi tu sasa ni wana-CDM?. Je wanaotoka CDM wakajiunga na vyama vingine wanatoka huko wakiwa wasafi kwenda kujichafua? na Je tusio na vyama ni wachafu au wasafi kama CDM? nauliza hayo maswali kwa vile inaonekana humu JF ukiongelea issue zihusuyo vyama vingine unaonekana kero kwa baadhi ya watu wenye mrengo wao, kutokana na hisia zao ilimradi tu ionekane kuwa Chama fulani ndo bora. mawazo mafinyu hayo tofauti na matarajio ya wengi katika kuelekea kuimarisha umoja, mshikamano na heshima miongoni mwa Watanzania
   
 8. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,659
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Baba akifa kwa ukimwi lazima mama naye afuate, NCCR imekuwa mke wa pili wa magamba, na sasa wote ni mashahidi wa moto unavyowaka CCM, sasa bado CUF.
   
 9. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hivi hiki chama kipo?
   
 10. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,817
  Likes Received: 36,921
  Trophy Points: 280
  Naskia Mbatia anatoa ile kitu?
   
 11. HT

  HT JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  did I read it right atiwm52?
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,436
  Likes Received: 22,349
  Trophy Points: 280
  Kati ya hao mapacha watatu ni yupi shoga?
  Nasikia shoga ni mamluki wa magamba, na ndiye anaye ki spoil chama.
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,436
  Likes Received: 22,349
  Trophy Points: 280
  Mwita mbona naye ni gamba tu, ila anajidai ameasi kambi. Huyu ni Shibuda mwingine, tuweni macho.
   
 14. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,584
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  ametoa taarifa kama vile ni wote tunaofahamu kinachoendelea huko
   
 15. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Umeshindwa kuielewa hoja sasa umeishia kutupa lawama bila sababu ya msingi.

  Hoja hapa ni kwamba mwenyekiti wa nccr ni pandikizi la ccm. Hata viongozi na wanachama wengine wa nccr wamemstukia na sasa wanataka aachie ngazi.
   
 16. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #16
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  naota ama! siamini kama mwita ameokoka!

  Asante Mungu mtakatifu kwa kuwafunulia watu wako!
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  Sikiliza we Thatha, pamoja na kwamba ccm imechoka imechakaa, na haina hata mawazo mapya ya kutaka kuwakomboa wananchi wazalendo wa nchi hii, wapo baadhi ya wanachama wazuri wenye kuipenda nchi yao waliopo ndani ya ccm. sasa ukiona baadhi ya watu wanatoka ndani ya ccm na kujiunga chadema ujue wamechoshwa na sera mbovu za ccm, pamoja na unyonyaji, na wameona hakuna mahali pengine pa kukimbilia zaidi ya chadema ambayo imethubutu kufanya kwa vitendo kuhakikisha watanzania wanafaidika na neema ya nchi yao wenyewe.
  Na ukiona mtu anatoka chadema na kujiunga na ccm ujue huyo mtu ni mwizi, fisadi, jambazi, mbakaji, na hakuna pakukimbilia zaidi ya ccm ambayo imejaa watu wenye tabia kama ya kwake.
  Hata huyo mamako Anne kilango anatafuta mlango wa kutokea ajiunge na chadema!
  Tatizo lako we thatha umefungwa Akili unawaza kwa kutumia makalio, kitu ambacho ni hatari sana kwa afya ya akili yako!

  Kwenye comment zangu pale juu wapi nimeandika CDM? acha uvivu wa kufikiria!
   
 18. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimependa signature yako. Kuhusu mada mimi sina comment ila tutege masikio hadi mwisho wa gemu hili la NCCR
   
 19. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #19
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  What? MwitaCCM, nani kakuibia password na kutia maneno hayo sumu zaidi ya Pollomonium 326 mdomoni mwako mkuu????????

  OTE=Mwita25;2671959]Hao wote ni CCM tu, hatuna muda wa kujadili magamba hapa.[/QUOTE]
   
 20. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tabia zao za ujikedume ndio zimesababisha wachukiwe na kutoaminika kwa wananchi,halafu hilo la wasio na vyama si wasafi nadhani ni mtazamo wako wewe binafsi,tunachokiongelea hapa ni vyama vya siasa na si vinginevyo,hili ni jukwaa la siasa mkuu.
   
Loading...