JK na wanachuo wa UDSM Oktoba 20, 2011

Zipuwawa

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
3,053
653
Kesho Rais JK anategemea kwenda kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru, Je JK amekwenda kwaajili ya Rais Mseven wa Uganda? Ni wazi kuwa amekuwa akikwepa sana kukutana na Wasomi wa Chuo Kikuu cha Dar.
Je atapokelewaje na wasomi hao ?
 
tunaomba kesho mtujuze zaidi yatakayojiri huko maana nafikiri hawatampokea vizuri ...........
 
Kesho Rais JK anategemea kwenda kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru, Je JK amekwenda kwaajili ya Rais Mseven wa Uganda? Ni wazi kuwa amekuwa akikwepa sana kukutana na Wasomi wa Chuo Kikuu cha Dar.
Je atapokelewaje na wasomi hao ?

Neno wasomi wa Chuo Kikuu maana yake nini ? Usomi wao uko wapi ? Wamesoma wengi hapo akiwamo yeye Tanzania iko wapi ? Mbona mnao waita wasomi huwa wanashindwa hata kuuliza maswali au kujieleza ? Hebu tutafute jina la kuwaita lakini kusema wasomo ni BS .
 
nilifikiri kuwa msomi ni kufuta ujinga
sasa wizi rushwa ufisadi ndio usomi??????na huyo mkweree wenu usomi wake una walakini
 
UDSM kesho mpachimbe tu!! kwa nini! kama vipi mnasusia kuudhuria hayo maadhimisho. But mkuu tunaomba mtujuze kitakacho endelea huko UDSM na huyo ****** muuza sura.
 
atakayekuwepo hapo atupigie picha mabango,tutayasoma wenyewe tuu!naweza ku predict bango la 1,litasoma,chenji ya rada tupatie mkopo elimu ya juu!
 
La pili lina weza kuhusu pesa za kulipa Downs lipelekwe kwenye mikopo.
 
Sio wasomi,bali WANAOSOMA NA KUFANYAKAZI UDSM.Hapo vp? Halafu kila kitu UDSM,UDSM hadi lini? Vyuo kibao,ma lecturer na wanafunzi kibao wenye mtazamo tofauti ndani ya Tanzania ya leo.
 
Tanzania haina wasomi, bali ina waliohudhuria shule.

Haya maswala ya kuendekeza siasa yanazidi kushusha hadhi ya udsm. Kila kitu udsm ina maana Tanzania hakuna vyuo vingine ambavyo wana mawazo constructive? Inakera sana.
 
unajua unachokiandika? Pole sana
 
Tanzania haina wasomi, bali ina waliohudhuria shule.

Haya maswala ya kuendekeza siasa yanazidi kushusha hadhi ya udsm. Kila kitu udsm ina maana Tanzania hakuna vyuo vingine ambavyo wana mawazo constructive? Inakera sana.

Mzee umeanza kunywa na kuandika au kuna mtu kakufanyia umafia na kutumia ID yako ? Busara hizi umezitoa wapi ghafla hivi kaka.
Watanzania wana endekeza ma title , Dr, Prof, Eng ,na ujinga kibao lakini hatuoni faida ya ma title hayo .Yote hii imesabishwa na CCM.
 
wanachuo wawe makini,hawa jamaa wasije wakajaa vijana wao wa kazi kwenye hall kabla ya wanachuo.
 
Atajiumauma tu hapo, na kama kutakuwa na zomeazomea huenda akapatwa na kigugumizi...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom