Ni kweli NnauyeJr hawajui Mbowe, Slaa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli NnauyeJr hawajui Mbowe, Slaa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Donyongijape, Oct 18, 2011.

 1. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Nimesoma katika gazeti la Tanzania Daima na kukutana na hii kali ya mwaka, Eti Nape Hawajui Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Katibu wake, Dk. Willbrod Slaa katika duru za siasa nchini. Alikuwa akijubu tuhuma dhidi ya chama chake juu ya kile kilichodaiwa kuwepo kwa mipango ya kuwabambikizia kesi baadhi ya viongozi wakuu wa CHADEMA kwa lengo la kuwadhoofisha wao binafsi na chama kwa ujumla.Nape alisema hawezi kujibu madai yasiyokuwa na maana na pia hawajui hao wanaoitwa Mbowe na Slaa.

  "Nimesahau kama wapo Dk. Slaa na Mbowe ndiyo unanikumbusha wewe," alisema na kuongeza kuwa viongozi wa CCM hawajakutana mahali popote kuzungumzia suala hilo na kueleza kuwa huo ni upuuzi usiokuwa na mashiko.


  Nape alidai kuwa viongozi wa CCM hawana muda wa kuwafikiria CHADEMA, kwani si chama chenye maana kinachoweza kuwasumbua wala kuwapotezea muda.
  "Uchaguzi umekwisha, hatuna muda wa kuwafikiria viongozi wa CHADEMA, kwanza si chama, sasa tunafikiria kutekeleza ilani ya chama chetu,'" alisema.

  Alisema kuwa viongozi wa CHADEMA ndio wenye muda wa kuwafikiria viongozi wa CCM na kusema, "Wao ndiyo wanafikiria, ‘tumfanyeje Nape na JK'."


  Majibu ya Nape yamekuja siku mbili tu baada ya kutoa matusi mazito katika mkutano wa hadhara uliofanyika jijini Mwanza.


   
 2. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,656
  Likes Received: 21,871
  Trophy Points: 280
  Kumjadili Nape ni kumpa umaarufu usio wake. Kitendo chake cha kuporomosha matusi Jukwaani kimenifanya nimuone kama kiongozi mwehu na kuanzia sasa sitajadili lolote limhusulo Nape. Ni kupoteza muda tuu.
   
 3. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Kwani Nape akiwajua Slaa na Mbowe inawasaidia nini?
  Kwani kazi zao hazitatekelezwa kwa kuwa Nape hawajui?
  Mi' nadhani siasa zetu za majitaka kwa viongozi wa aina hii
  ndizo zilizotufikisha hapa...
   
 4. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,604
  Likes Received: 4,725
  Trophy Points: 280
  Hatumshangai huyo nepi mbona hamtambui hata baba yake mzazi ?Atuambie lini alienda kumuona Profesa huko India anakougulia?
   
 5. Elba

  Elba JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 383
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kadri siku zinavyokwenda, uwezo wa kufikiria wa huyu kijana mwenzetu unashuka kwa kiwango kikubwa. Kwa sasa umefikia lever ya Makamba Snr!(Uropokaji nakusahau alichoong Baada ya mwaka nafikiri atakuwa lever ya Kingendu ( msanii mchekeshaji asiye na mvuto)
   
 6. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Mh, mimi simo...
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,345
  Likes Received: 19,526
  Trophy Points: 280
  Atajibeba na kujifariji
   
 8. s

  smz JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 251
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi nadhani imefika wakati wa kusitisha kuandika habari yoyote inayomhusu nape. Maana mwenzetu tunashindwa kuelewa kama ndo siasa hizo au lipo tatizo la msingi. Naogopa tusije onekana wote kama yeye.

  MOD: tafadhali naomba thread yoyote inayomhusu nape ipige chini.
   
 9. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,047
  Likes Received: 7,507
  Trophy Points: 280
  Kajitahidi kuwa muwazi kwa kutangaza upumbavu wake, iliyobaki ni sehemu yetu kujua kama anahitaji kusaidiwa na kwa kiwango kipi au lah.....
   
 10. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona wanaomtukana Rais hapa JF tunaendelea kuwasikiliza kwa nini kwa NAPE tusimsikilize akitukana matusi
   
 11. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Kwani kuna umuhimu gani Nape kama Nape kuwatambua viongozi wa chama chochote cha upinzani ( including Mbowe na Slaa).

  Wananchi wanawatambua. Kwisha.
   
 12. Nsabhi

  Nsabhi JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 1,096
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ni kweli mkuu tusimpe umaarufu nape a.k.a vuvuzela la CCM. Huyo ni mtu mdogo sana kumzungumzia.
   
 13. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #13
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Nape anamjua huyu kamanda tu
  [​IMG]
   
 14. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #14
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  nape+ mkorogo+twaarab = xenge
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  awajue asiwajue haisaidii.
   
 16. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Dogo anashangaza,hata kama ni dharau ni zaidi.kwa nafasi yake ya kiuongozi chamani huwezi sema humtambui mtu ambaye aligombea urais na kumtoa jasho vilivo JK,wala kutomfahamu mtu ambaye pia ni mbunge wa Bunge la Tanganyika/tanzania na kiongozi wa kambi ya upinzani. All in all atambue asitambue hali ni moja tu
   
 17. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,155
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Siwezi kumjadili mwehu, nasijekuwa mwehu na mimi
   
 18. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kuna mtu aliniambia kila anayetamani kushikisha wenzao ukuta ni hasira za yeye kushikishwa ukuta akiwa mtoto,sasa huyu dogo msimlaumu sana labda akili ilidumaa kwa sababu ya hiyo kitu kupigwa sana.
  tumwombee alikuwa mlokole alituimbia kanisani hapa singida kumbe masikini ya mungu alikuwa ameshaathirika kisaikolojia,alikuwa anasubiri akue apate madaraka ili aje kulipiza visasi ila namshauri kama ni visasi awalipie hao wazee wa ccm waliomlaghai na kumshikisha hiyo kitu.
  masini yule mzee na uadilifu wake alifikiri ndani ya chama ni wa\zee wenzake kumbe wanamuharibia mtoto.
   
 19. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #19
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kwani tanzania tu rais?kama hata huko ccm wamemchoka kuendelea kumbeba ni makosa makubwa.mungu ibariki tanzania.
   
 20. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  heeeeee hebu tuweke vizuri hapo.. Kwani huyo pumpers ni mzao wa nani???
   
Loading...