Afrika na ukoloni mamboleo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afrika na ukoloni mamboleo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndulungu, Oct 23, 2011.

 1. Ndulungu

  Ndulungu Member

  #1
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama tunavyoona nchi za magharibi zinavyotaka kurejesha makoloni yake ya zamani kwa njia ya kutuchonganisha na viongozi wetu nakufanya tuwachukie na kisha kuziondoa madarakani serikali zetu na wao kutumia mwanya huo kutupandikizia viongozi ambao ni vibaraka wao wanaziunga mkono sera zao ambazo hazina manufaa kwa mataifa ya afrika dhidi ya kuwa na misingi ubepari na uporaji wa rasilimali za nchi zetu.je waafrika tunachukua hatua gani kupingana na ukoloni na uporaji huu unaofanywa na mataifa ya magharibi?
   
 2. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Hakuna UN wal AU vyote hivyo ni vyombo vya Mabepari kuwawezesha kuchota mali kutoka Africa.
   
 3. Ndulungu

  Ndulungu Member

  #3
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo umeongea kweli kaka.
   
Loading...