Lema, Lissu na Nassari washambulia Arusha leo

ngurati

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
221
240
Mh mbunge wa arusha mjini kamanda Lema, mbunge wa singida mashariki Tundu Lisu na aliyekuwa mgombea wa arumeru mashariki Leo wamehutubia mamia ya wanarusha maeneo ya kimandolu na wakafungua matawi Malta ya chadema. Mkutano ulikuwa mkubwa na ki ukweli Arusha imeamka. Lisu Ameichambua katiba, Lema kazungumzia mipango ya maendeleo jimboni hata bila ya halmashauri, Nassari akazungumzia mustakabali wa nchi under ccm na nini kifanyike.

CDM wamekamilika , na wanashambulia kula kona. Wakati hawa wanashambulia Arusha Akina Mdee walikuwa tegeta, slaa skilled manyara.
 
Jana Lisu alikuwa Mwanza, leo yupo Arusha wakati jimboni kwake wanakufa njaa.

Sifa kijinga.
 
Asante kwa viongozi hao kukemea mapepo ya ccm. Na yatashindwa kwa jina la chadema
 
Jana Lisu alikuwa Mwanza, leo yupo Arusha wakati jimboni kwake wanakufa njaa.

Sifa kijinga.

Siyo kazi ya Lissu kupeleka chakula jimboni mwake. Mathalani kashafikisha hilo swala la uhaba wa chakula serikalini, kilichobaki ni kazi ya serikali yako. Serikali inavizia sehemu zenye uchaguzi mdogo ndiko inapeleka chakula. Wote tumeshuhudia kilichotokea Igunga wakati wa kampeni wa uchaguzi mdogo, leo hii tunavyozungumza hapa ni kwamba serikali imeacha kusambaza chakula huko Igunga. Inasubiri uchaguzi mdogo mwingine..
 
Jana Lisu alikuwa Mwanza, leo yupo Arusha wakati jimboni kwake wanakufa njaa.

Sifa kijinga.

Kwa maneno mengine ndugu Mzee unatutangazia kuwa chini ya serikali ya CCM kuna watu wanaokufa njaa? Pengine utufafanulie, kwa nini watu wanakufa njaa? Nani mwenye jukumu la kuhakikisha wananchi wanakuwa na chakula cha kutosha? Professor Magembe na wizara yake wanalipwa mshahara kufanya nini?

Mh Lissu is a legislature (mtunga sheria) na sio waziri wa chakula. Na chama anachotoka Mheshimwa Lissu, hakikusanyi kodi. Kama serikali iliyopo imeshindwa kutimiza moja ya majukumu yake ya msingi (kulisha wananchi wake) kwa nini wanang'ang'ania kuendelea kukaa madarakani. Hivi Professor Magembe na CCM nzima wakiitwa waongo na waujaji itakoa kosa? Ni mara ngapi tumewasikia wanasema HAKUNA MTANZANIA ATAKAYEFUKA NJAA?
 
kila siku arusha,mwanza,tegeta.kwa nini wasije huku kijijini kwetu kikonga?au wanasubiri uchaguzi mkuu wakati wa kampeni.
 
Jana Lisu alikuwa Mwanza, leo yupo Arusha wakati jimboni kwake wanakufa njaa.

Sifa kijinga.

Hakuna anaekufa Singida. Wewe unaganga njaa na post za kipuuzi ndie utakufa na njaa bila upuuzi huu. Hata hivyo endelea tu kwani ndicho ulichojaliwa
Join Date : 2nd February 2011
Location : DUNIANI
Posts : 3,842
Rep Power : 28

UMEJIUNGA JUZI TEYARI UMEPOST UPUUZI KIASI HIKI
 
kila siku arusha,mwanza,tegeta.kwa nini wasije huku kijijini kwetu kikonga?au wanasubiri uchaguzi mkuu wakati wa kampeni.

mkuu mpaka kufikia mwaka 2015 chadema itakuwa imecha pitakila kona ya nchii hii..kumbuka maandamano bado yako palepale...
 
mkuu mpaka kufikia mwaka 2015 chadema itakuwa imecha pitakila kona ya nchii hii..kumbuka maandamano bado yako palepale...

hofu yangu kila siku utasikia lema yupo kimandolu halafu mbowe yuko makumira chuoni.ujinga ni kurudia jambo moja halafu utegemee matokeo tofauti.
 
Hakuna anaekufa Singida. Wewe unaganga njaa na post za kipuuzi ndie utakufa na njaa bila upuuzi huu. Hata hivyo endelea tu kwani ndicho ulichojaliwa
Join Date : 2nd February 2011
Location : DUNIANI
Posts : 3,842
Rep Power : 28

UMEJIUNGA JUZI TEYARI UMEPOST UPUUZI KIASI HIKI

na lazima apewe ufanyakazi bora na nepi.
 
Jana Lisu alikuwa Mwanza, leo yupo Arusha wakati jimboni kwake wanakufa njaa.

Sifa kijinga.
Hivi ni Lisu tu ambaye hajatembelea wapiga kura wake tu? Tuache majungu, mbona JK anatembea sana nchi za watu mpaka bajeti ya Ikilu ikashoot vibaya sana kwa ajili ya kugharamia safari zake za nje ya nchi lakini hamlisemei hilo! Waache jamaa wafanye wanachokiona kinafaa kwao bora hawavunji sheria tu za nchi.
 
Jana Lisu alikuwa Mwanza, leo yupo Arusha wakati jimboni kwake wanakufa njaa.

Sifa kijinga.
Hivi wewe hukusikia wabunge wa CDM waliposema kuwa wao ni wabunge wa taifa? wao wanawakilisha wananchi wote Tanzania na mambo wanayotetea bungeni si ya majimbo yao ya kuchaguliwa tu bali ya watanzania wote maana wabunge magamba wanakazana kufisadi nchi.
 
Jana Lisu alikuwa Mwanza, leo yupo Arusha wakati jimboni kwake wanakufa njaa.

Sifa kijinga.

Dalali (Mtanisaidia wa nini) alivyoshinda Ubunge, alikwenda kusheherekea wapi ushindi wake kama sio Dar?
Lusinde yuko wapi kwa sasa?
 
Jana Lisu alikuwa Mwanza, leo yupo Arusha wakati jimboni kwake wanakufa njaa.

Sifa kijinga.

We mzee unazeeka vibaya. Kodi zetu zinakusanywa na Serikali ya ccm na wao ndio wanatakiwa kugawa chakula kwa wananchi wenye njaa. Unataka Lissu atoe hela mfukoni kwake?? Mbona Igunga walikuwa wanagawa chakula?
 
Back
Top Bottom