Viongozi wote wa afrca waliokula pesa na gaddafi kukiona!

WILLY GAMBA

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
211
87
Zile PESA za wananchi wa Libya ambazo Marehemu alikuwa anazigawa hovyo hovyo sasa mapipoooooozzz wanasema Yeyote aliyetafuna asithubutu kutia mguu Misratah au Benghazi
 
Nafikiri jeikei na maembe wanaongoza barani kwa kuzungusha bakuli.ole wenu mnapenda sana vya bure.
 
Nafikiri wanaosema maneno haya ni punguani. Gaddafi ameondoka ulimwenguni kama wataanza kufuata fuata mataifa mengine watajilaumu wenyewe. Mashirikiano baina ya mataifa ni jambo la kawaida. Nyengine ni chuki binafsi tu.
 
hivi mtu aende misrata kufanya nini?

Ndugu yangu, utashangaa sana. Mtoa thread hii ndo wale wale wapagazi wa hoja wasizozifahamu. Kwanza kwenda huko presupposes kwamba kuna mahusiano ya kidiplomasia. Nani atakwenda kwa genge la wauaji?
 
Zile PESA za wananchi wa Libya ambazo Marehemu alikuwa anazigawa hovyo hovyo sasa mapipoooooozzz wanasema Yeyote aliyetafuna asithubutu kutia mguu Misratah au Benghazi

Willy Gamba,
You have a point ila umekosea namna ya kuiwasilisha.

Ukweli ni kwamba waliochukua hela ya LIBYA kuupitia mikono ya Ghadaffi kweli wapo matumbo moto. Serikali ya Tanzania ni mojawapo kwa viongozi wake kukwapua hela za Ghadaffi kwa kisingizio cha Ugenishaji. Hiyo siri ya hizo Chenji anayo Membe na Kiwete wake! Na ndiyo maana ukifuatilia sana utaona kelele za Membe kuhusu kifo cha Ghaddafi na NTC si za bure. Anajaribu kutishia nyau ili NTC wasifuatilie Chenji yao. anajidanganya!

Tayari NTC wameshabaini kuwa Ghadaffi alikuwa na utajiri wa Tshs. Trilioni 140 in foreign currency kwenye mabenki ya Uswisi,US,Canada,UK na Australia.Tunaambiwa hivi jumla ya Fedha hii ni sawa na Bajeti ya Tanzania kwa miaka 12!!!Hizi ni zile zilizoko Ulaya na Bara America tu. Bado NTC hawajaanza kuchungulia kwenye Mabenki ya Africa. Ghaddafi aliwekeza sana kwenye nchi za Kiafrika Tanzania ikiwemo.

Hiyo pesa inatakiwa na NTC irudi Libya ikasaidie kujenga Uchumi wa Walibya na siyo kina Membe kuing'ang'ania eti kwa ajili ya Uchaguzi wa Urais mwaka 2015.
 
Mpaka kieleweke na kitaeleweka tu...mzee wa kuemea na vibakuri wa msoga tumbo joto.
 
Back
Top Bottom