Polisi, wananchi wajeruhiwa kwenye mgogoro wa ardhi Dodoma

Daniel Anderson

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
872
141
Taarifa inayotolewa sasa hivi kutoka Dodoma zinasema kuwa kumetokea vurugu kubwa kati ya jeshh la polisi na CDA dhidi ya wananchi. Tafrani hiyo inatokana na bomoabomoa. Wananchi wanajiapiza kuwa CCM ni mwisho.
Source: WAPO FM patapata.
 
Jeshi la polisi limevamia nyumba za wananchi zinazodaiwa kumilikiwa na CDA ambapo inasemekana kuna mtu nyuma yake anaeshinikiza kubomolewa kwa eneo hilo ili alichukue.

Askari wamefika tangu saa nane usiku hadi sasa ni vurugu kubwa katika kijiji cha Chadengwa, wanawapiga mabomu ya machozi na wengine wameshapoteza mali na watoto, trekta linaendelea kubomoa nyumba hadi muda huu.

Source: WAPO radio live from DODOMA
 
Mkurugenzi anasema wananchi hao wana haki ya umiliki, na korti ilitoa amri ya kusitisha bomoabomoa.
 
Taarifa inayotolewa sasa hivi kutoka Dodoma zinasema kuwa kumetokea vurugu kubwa kati ya jeshh la polisi na CDA dhidi ya wananchi. Tafrani hiyo inatokana na bomoabomoa. Wananchi wanajiapiza kuwa CCM ni mwisho.
Source: WAPO FM patapata.

Safi...
 
Pia wameripoti kua kulikua na kesi mahakamani na kwamba iliamriwa nyumba hizo zisibomolewe kwanza!
 
taarifa inayotolewa sasa hivi kutoka dodoma zinasema kuwa kumetokea vurugu kubwa kati ya jeshh la polisi na cda dhidi ya wananchi. Tafrani hiyo inatokana na bomoabomoa. Wananchi wanajiapiza kuwa ccm ni mwisho.
Source: Wapo fm patapata.
kila kitu siasa

kwani akija chadema ndio ataruhusu wajenge kwenye maeneo yasiyostahili?
 
poleni ndugu zetu, tunaposema serikali ya ccm ni dhalimu msiwe wagumu kuelewa.
 
kila kitu siasa
kwani akija chadema ndio ataruhusu wajenge kwenye maeneo yasiyostahili?
mkuu eneo ni lao kwa haki na sheria ila kaja tajiri mmoja na kununua eneo hilo, then cda wakaamuru kuondolewa kwa wananchi hao wanaonyimwa haki za uraia.
 
kila kitu siasa

kwani akija chadema ndio ataruhusu wajenge kwenye maeneo yasiyostahili?
Hapa wanamaanisha kuwa CDM ikipewa nchi kila mtu ataamua kufanya anachokitaka. Kila mtu atakuwa juu ya sheria.
 
Back
Top Bottom