Hatimaye TUNISIA yafanya uchaguzi huru tangu ilipopata uhuru mwaka 1956

TUMBIRI

JF-Expert Member
May 7, 2011
1,933
1,199
Tunashukuru kwa taarifa mkuu, tungeomba kujua kama ucheleweshwaji wa matokea utajitokeza na kukimbia na masanduku ya kura kama ilivyotokea Songea, pamoja na Umafia wa Igunga na uchakachuaji wa kura endapo vitajitokeza huko Tunisia. Tunasubiri kwa hamu mkuu.
 
Tunajifunza kuwa kwa vile ccm imejisahau mno, mbinu za Tunisia na nchi nyingine za kiarabu zinaweza kutusaidia kupata Uhuru wetu tena kutoka mikononi mwa mafisadi.
 
Back
Top Bottom